Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Mwanangu huo ni moyo wa chuma aisee, ujue yawezekana kweli alikuwa anataka mgawane hizo mali nusu nusu na anagekubali, ila kuonesha kwamba hujali chochote kuhusu mali hapo ukammaliza kabisa.

Lastly, mshua wako ni OG sana.
Mshua wangu Ni mtu POA Sana,
Namheshimu sn, busara zake hazijawai niangusha
 
Kwanza mshukuru sanaa baba yako mzazi, huyu mzee yuko smart saana Sanaa na anajielewa mnoo.

Pia wewe na baba yako mmeonyesha mwanaune kamili anatakiwa aweje katika maamuzi,yaani hakuna kuyumba wala kuyumbishwa(Ila nahisi wewe umecopy kwa mzee na ndo maana anakukubali sanaa)
Zaidi nimeweza kuiona nguvu ya pesa, kama huna pesa bro mtu kufanya maamuzi kama yako ni mtihani mkubwa sana. (Wakuu tafuteni mkwanja)

Uzi wako kimya kimya umesaidia na unasaidia wengi saana mkuu amini Nakwambia.

Kuna muda ni lazima kufanya maamuzi magumu ili kuilinda, kuijenga na kuisimamia heshima yako. 💪💪
 
Kingine nikigundua shangaz zake wasingeweza kumkanya maana alikua anawawezesha Sana kiuchumi.

Kwaiyo kumkosoa na kumkemea sponsor ilkua ngumu.

Nikipeleka kesi, Ni blah blah wanapiga stories zao na kumsikiliza yeye afu hamna kinachobadilika
Na hao hao ndio walikua walimu wake
 
Ila wanawake ni kama wamezaliwa na ujinga wa asili hivi

Ni nadra sana kumkuta mwanamke anawaza hata miaka 2 mbele.

Miaka 3 nyuma,wife kuna kipindi wakati naanza maisha nilisema nimshirikishe mke wangu kwenye mipango

Basi nikawa napiga deal mixer kazi kwa mwezi Nampa 700k mara M.1 sometimes 650k..

Hapo achana na budget ya emergency ambayo Kila mwezi nilikuwa naweka 250k.

Sasa siku nayopewa termination of contract najua kabisa emergency funds Nina km 5.8M huku kwingine najua nina kama 14M.

Nikajisemea hapa sitaki tena Ajira nitaendelea na mishe zangu, Sasa namwambia wife mkataba wangu umeisha hautaongezwa zilete zile hela tufanye mahesabu tujue tunaanza wapi..

Nashangaa mtu anatoa machozi, mimi moja kwa moja nikajua mke wangu kaumia kusikia Sina Kazi nikaanza kubembeleza mbona akiba tunayo na kazi zipo nyingi sana kwenye fani yangu!!Ni vile tu mi sina mpango wa kuajiriwa baada ya mda nikamwambia lete hela tufanye mahesabu akaenda kuchukua kama 650k kaweka kitandani,mi nikamwambia lete zote akasema ndo hizo zimebaki....

Kumbuka mi najua nina 20M. Kasoro hivi aisee hasira zilinipanda ghafla pumzi ikawa inakaba km nataka kupata presha hivi aiseeee pembeni kulikuwa na kastuli flani hivi napendaga kuwekea simu usiku nikiwa nalala, kuna roho iliniingia ya kikatili nilitamani nishike kistuli nimbamize nacho Cha kichwa bahati nzuri niligeuka kumuangalia sura yake na mke wangu ana sura ya kipole sanaaa na kamwili kake kalivyo kadogo plus mimi nishawahi kufanya mazoezi makali ya boxing nikisema nipige liver shot moja naweza hata kuua...

Nikatoka nikaenda kukaa sebuleni kwanza nawaza si ningemuumiza sana!!hivi presha ndo inashika vile!nilijiogopa sana kwakweli.Sijawahi kumpiga toka tumeanza mahusiano ila nikapata picha kwanini wanaume wanapigaga wake zao tena bora mwenye mkono wa kupiga makofi maana atakuwa anapiga kdg kdg,mimi niliwazA kumuumiza yaani ukimuona unasema eee huyu mwanaume kweli katili..nilijiogopa sana kwakweli.

Siku 3 sijui nifanye nini kusema popote naona aibu siwezi mwambia mama yangu siwezi kusema kwao siwezi mwambia rafiki yangu yaani nimekaa nalo moyoni natoka naenda kushinda Bar nikifika tu mlango wa nyumbani hasira zinawaka moto ,kazi sina akiba yangu ya mambo yangu ilikuwa ni 3.5M plus 650k tu Hela yote ndo wife kawapa ndugu zake wafungue biashara, nyingine kajenga choo Cha baba yake nyingine kanunua mavitu Yao ya kike.

Niliumia sana sanaaaaaa kilichokuwa kinaniuma ni mwanamke ambaye nimeoa aje anisaidie maisha ndo anakuja nishusha,mwanamke ninayemshirikisha kila kitu ndo anakuja kuwa adui yangu,nimemaliza mkataba na ndo hapo hapo napokea taarifa km hiyo.Sina mtu wa kumshirikisha kitu maana wakumshirikisha ndo huyo kazingua.

Mda wote nawaza ukatili tu sasa kimtu chenyewe hataukipiga kofi vzr kinazima.Nssf nilikuwa na 27M.pssf nilikuwa na 11M.Nikasema nianze kule kwanza.

Changamoto nilikuwa nayo kipindi kile ni nawezaje kukaa nae chini kupanga nae maisha mwanamke wa namna hii na je maisha nitapanga na nani? Nawezaje kumfungulia Biashara mwanamke wa namna hii??Nani nitaongea nae stress zangu za maisha?Nani atanifariji pale Mambo yakuwa yakienda mrama?Nani anayenionea huruma kama sio mke wangu?Kifupi alinitisha sana sababu niliamini nipo salama halafu nikagundua nahitaji kuwa makini maana sio kweli kwamba nipo salama.

Huyu mwanamke sijawahi kuprove kunisaliti na ana heshima kiasi chake nadhani hapo ndo alipoponea,mi nilikuwa willing kuvunja ndoa ila hivyo vitu viwili ndo deal breaker kwangu basi nikapata mafao nikaweka sehemu kazaa nikawa naingiza 3M. Per month Maisha yakarudi sawa.

Sijawahi kumwambia ila Nikampa adhabu kuu mbili sitakaa nikufungulie biashara,sitakaa na wewe kujadili maendeleo ya familia,tupige story tucheke tule tulale ila my next move itakuwa siri yangu siku zote...

Kiukweli hili jambo lilinifanye nisiwazingatie kabisa wanawake, Mungu aliposema tuishi nao kwa akili alijua kabisa hawa watu hajawapa akili ya utambuzi,Sasa km mwanaume nae huna akili basi familia inakosa mwenye akili...
 
Yani sijui wanakuaga vipi wanatia huruma sana na hasara sana
 
Kama umeshajua alidanganywa na majirani msamehe tu alafu piga marufuku mashositi.
Wala c majirani ni ndugu zake kabisaaa na si hitaji kabisa ukaribu nao hivyo ni ngumu kuendelea kuishi nae inaweza ikaja shida ambayo haitotatulika kirahisi
 
tukio lako ni kama la bro. wangu mwanzoni nilishangaa ila badae nimekuja kuelewa

kwa ufupi bro na mke wake waliachana baada ya mke kumtuhumu bro kutoka nje.
mke akarudi kwao bro akagoma kumfata baada ya miezi 4 mke wake kaja na kenta 2 kubeba kila kitu

kilicho nishangaza ni bro kutoa hela ya kubeba mizigo yote na kukubali vyote kuchukuliwa

kwa hasira alienda vunja kibubu na kununua vitu vipya ndani ya siku 2, majirani wakampigia mkewe kumuuliza kama karudi maana wanaona vitu vinaingia

mke karudi kushuhudia na kuomba msamaha hadi leo n mwaka wa 5 hawako pamoja.

bro aligoma kumsamehe
 
Ila wanawake ni kama wamezaliwa na ujinga wa asili hivi

Ni nadra sana kumkuta mwanamke anawaza hata miaka 2 mbele.

Miaka 3 nyuma,wife kuna kipindi wakati naanza maisha nilisema nimshirikishe mke wangu kwenye mipango

Basi nikawa napiga deal mixer kazi kwa mwezi Nampa 700k mara M.1 sometimes 650k..

Hapo achana na budget ya emergency ambayo Kila mwezi nilikuwa naweka 250k.

Sasa siku nayopewa termination of contract najua kabisa emergency funds Nina km 5.8M huku kwingine najua nina kama 14M.

Nikajisemea hapa sitaki tena Ajira nitaendelea na mishe zangu, Sasa namwambia wife mkataba wangu umeisha hautaongezwa zilete zile hela tufanye mahesabu tujue tunaanza wapi..

Nashangaa mtu anatoa machozi, mimi moja kwa moja nikajua mke wangu kaumia kusikia Sina Kazi nikaanza kubembeleza mbona akiba tunayo na kazi zipo nyingi sana kwenye fani yangu!!Ni vile tu mi sina mpango wa kuajiriwa baada ya mda nikamwambia lete hela tufanye mahesabu akaenda kuchukua kama 650k kaweka kitandani,mi nikamwambia lete zote akasema ndo hizo zimebaki....

Kumbuka mi najua nina 20M. Kasoro hivi aisee hasira zilinipanda ghafla pumzi ikawa inakaba km nataka kupata presha hivi aiseeee pembeni kulikuwa na kastuli flani hivi napendaga kuwekea simu usiku nikiwa nalala, kuna roho iliniingia ya kikatili nilitamani nishike kistuli nimbamize nacho Cha kichwa bahati nzuri niligeuka kumuangalia sura yake na mke wangu ana sura ya kipole sanaaa na kamwili kake kalivyo kadogo plus mimi nishawahi kufanya mazoezi makali ya boxing nikisema nipige liver shot moja naweza hata kuua...

Nikatoka nikaenda kukaa sebuleni kwanza nawaza si ningemuumiza sana!!hivi presha ndo inashika vile!nilijiogopa sana kwakweli.Sijawahi kumpiga toka tumeanza mahusiano ila nikapata picha kwanini wanaume wanapigaga wake zao tena bora mwenye mkono wa kupiga makofi maana atakuwa anapiga kdg kdg,mimi niliwazA kumuumiza yaani ukimuona unasema eee huyu mwanaume kweli katili..nilijiogopa sana kwakweli.

Siku 3 sijui nifanye nini kusema popote naona aibu siwezi mwambia mama yangu siwezi kusema kwao siwezi mwambia rafiki yangu yaani nimekaa nalo moyoni natoka naenda kushinda Bar nikifika tu mlango wa nyumbani hasira zinawaka moto ,kazi sina akiba yangu ya mambo yangu ilikuwa ni 3.5M plus 650k tu Hela yote ndo wife kawapa ndugu zake wafungue biashara, nyingine kajenga choo Cha baba yake nyingine kanunua mavitu Yao ya kike.

Niliumia sana sanaaaaaa kilichokuwa kinaniuma ni mwanamke ambaye nimeoa aje anisaidie maisha ndo anakuja nishusha,mwanamke ninayemshirikisha kila kitu ndo anakuja kuwa adui yangu,nimemaliza mkataba na ndo hapo hapo napokea taarifa km hiyo.Sina mtu wa kumshirikisha kitu maana wakumshirikisha ndo huyo kazingua.

Mda wote nawaza ukatili tu sasa kimtu chenyewe hataukipiga kofi vzr kinazima.Nssf nilikuwa na 27M.pssf nilikuwa na 11M.Nikasema nianze kule kwanza.

Changamoto nilikuwa nayo kipindi kile ni nawezaje kukaa nae chini kupanga nae maisha mwanamke wa namna hii na je maisha nitapanga na nani? Nawezaje kumfungulia Biashara mwanamke wa namna hii??Nani nitaongea nae stress zangu za maisha?Nani atanifariji pale Mambo yakuwa yakienda mrama?Nani anayenionea huruma kama sio mke wangu?Kifupi alinitisha sana sababu niliamini nipo salama halafu nikagundua nahitaji kuwa makini maana sio kweli kwamba nipo salama.

Huyu mwanamke sijawahi kuprove kunisaliti na ana heshima kiasi chake nadhani hapo ndo alipoponea,mi nilikuwa willing kuvunja ndoa ila hivyo vitu viwili ndo deal breaker kwangu basi nikapata mafao nikaweka sehemu kazaa nikawa naingiza 3M. Per month Maisha yakarudi sawa.

Sijawahi kumwambia ila Nikampa adhabu kuu mbili sitakaa nikufungulie biashara,sitakaa na wewe kujadili maendeleo ya familia,tupige story tucheke tule tulale ila my next move itakuwa siri yangu siku zote...

Kiukweli hili jambo lilinifanye nisiwazingatie kabisa wanawake, Mungu aliposema tuishi nao kwa akili alijua kabisa hawa watu hajawapa akili ya utambuzi,Sasa km mwanaume nae huna akili basi familia inakosa mwenye akili...
Nianze kucomment hapa..nimejisikia vibaya sana kama mwanamke. Kuna muda tunaaminika af kumbe tunakuwa wase*** tu. Pia nimejifunza mwanamke ili uwe productive unatakiwa uwe na akili mingi sana. Na wisdom pia. Na kusiwepo na usiri baina ya wenza (namaanisha ile 100% usiri).

Kwa maana kama kungekuwa na uwazi baina yenu, sawa si yote lakin mambo mengi angekushirikisha ya familia yake..ama kama vipi angekuomba afanye kabiashara ili tu apate pesa aweze kumudu mambo ya familia yake.

Kuna pastor nimeona clip yake juzi akasema, "mwanamke unapewa fedha ya familia afu unaituma kwa kwenu, akati ni fedha ya familia its very wrong. Kama ni mara moja sawa lakin wewe kila siku unafanya hvyo..huyo mume atakuaminije??"

Nimejifunza jambo kubwa sana. Ningepata nafasi ya kukaa chin na mkeo ningemuambia ivi.."Atafute kitu cha kufanya afu araise pesa kwa nguvu zake ana akili zake yeye mwenyewe. Afu aweze kukisimamia persee na akushirikishe pato lake. Hii ingekujengea wewe kumuamini na pia akupe na ideas za kufanya ili tu muingize pesa na kama utaona sawa utashughulikia, ama la utaachana nayo.

Lakini ili huyo mwanamke umuamini tena lazima afanye jambo litakaloku-astonish kwa nguvu, akili zake na resources ndogo sana. Maana hapo yupo kama botion ale..akuzalie basi. Lakin haserve her purpose fully. Kaondolewa kwenye nafasi ya usaidizi. Anakusaidia kwingine lakin uchumi wako kuna mahala unapata msaada sasa that aint good. Nazid kujifunza kwamba akili yangu ikawe bora na isiwe mzigo kwa mume wangu. Nimejisikia soo inferior as a woman..and a wife.
 
Unamchokoza tu[emoji23][emoji1787][emoji1787] utest kama akili bado zipo[emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha..... changamoto hazikosekani
Ila Ni ndogo ndogo za kawaida Sana zinahimilika[emoji4]
 
Mengi sana, wanawake ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ila wako karibu sana na shetani, wanatutesa sana
Kabisa mkuu,
Nilichogundua kingine ukweni hasa wamaam wakubwa wana-influence za ajabu Sana kwny ndoa za mabinti zao.

Wana ujasili wakuwatuma wakafanye vitakavyohatarisha ndoa zao bila kujali matokeo yatakuaje mbelenii
 
Lakini pia braza DeepPond leo umejua kunishangaza. Leo nimekuona kwa namna ya tofauti sana. Hakika you are so true and real. Naamini ndoa yako ni ndoa flani kubwa sana na ina miaka mingi ahead.

Mmepita kwenye moto lakin mmetoka mnang'aa. Heko kwa baba zenu wote, hakika mmepata good parents wenye hekima na busara sana. Nimejifunza mengi sana kama mwanamke katika hiki kisa na natamani pale penye wrongs mimi nikawe right thou naweza nikawa nina yangu mabaya pia.

Nilichoona hapa na nadhan ndo kilichopo, wanawake weng tunapenda kuonekana victims, sisi ndo tunakosewa, sisi ndo tunatendewa ubaya, sisi ndo tunafanyiwa visa..lakin kumbe chimbuko kubwa la tatizo ni sisi.

Nimeona uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,husuda na ulafi wa mali. Haya yote ni matendo ya mwili ambayo yamepelekea uwepo wa Mungu atupaye hekima kuondoka. Utasoma zaid ktk Gal 5: 20-23.

Laiti kama kungekuwa na matunda ya Roho hapa..basi haya mambo yangepungua kama sio kutokuwepo. Upendo, Furaha, Amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi.. naamini hii shida ingekuwa solved mapema sana. Kuna mmoja alikosa uaminifu kumpelekea mwingine kupata hasira. No tunda la Roho, tendo la mwili likaingia na kupata nafasi kubwa. Ndo maana tunatakiwa tuisulubishe miili yetu sana pamoja na tamaa zake..kama tukiishi kwa Roho na tuenende kwa Roho. Life in Christ is better for me,and for you too.. nahisigi ningeshachizikaga kitambo au kuwa zaidi ya mama.G. We need God in our marriages and our families.
 
Back
Top Bottom