Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Kwahiyo unaongea lipi haswa? Chai au sio chai?!! Hujaeleweka msimamo wako ni upi.

Mkuu, akili Yako inatuambiaje; Kuna madhara au hakuna ya kuvuta hewa yenye mashuzi?
Mkeo akijamba unakuja kusimulia kwenye Jamii forums? Kwanini huwa mnaoa wakati bado hamjabalehe lakini? Unaoa ili iweje?
 
Sasa wewe si dokta au ??

Unatuombaje ushauri sisi tena 🀣🀣
 
Ukioa ni vema mke awe na chumba chake na mume huwe na chumba chako ...hizo ni dalili za kuchokana kama ilivyo kwenye ndoa karibu zote kutokana na kuish nyumba moja na kulala siku zote chumba kimoja..
 
Yeah, madhara yapo.
Unaweza kujikuta unaanza kupenda sehemu yanakotokea hayo mashuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…