Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

Mchepuko anaweza aka badilika kuwa Mke,na mke anaweza kubadilika akawa mchepuko kwa mwingine.

Ni sehemu ya maisha hakuna maajabu katika hilo,na ni mambo lazima yatokee duniani.nothing special.
 
Hata wanawake ni hivyo hivyo shughulikeni na yanayowahusu
π•Œπ•œπ•šπ•₯π•’π•œπ•’ π•™π•šπ•π•š π•›π•’π•žπ•“π•  π•¦π•œπ•’π•“π•’π•π•š π•œπ•¦π• π•π•–π•¨π•’ π•“π•šπ• π•žπ•’π•™π•’π•£π•š,π•Ÿπ•šπ•œπ•šπ•₯𝕠𝕒 π•žπ•’π•™π•’π•£π•š π•žπ•’π•’π•Ÿπ•’ π•ͺπ•’π•œπ•– π•Ÿπ•šπ•žπ•–π•œπ•¦π•Ÿπ•¦π•Ÿπ•¦π•’,π•Ÿπ•šπ•Ÿπ•’ π•žπ•’π•žπ•π•’π•œπ•’ 𝕛𝕦𝕦 π•ͺπ•’π•œπ•  𝕨𝕖𝕨𝕖.
 
Kabalianeni na uhalisia bila hivyo msingekuwa mnakufa kwa wivu wa kijinga
 
Kwa akili huwezi kuwa km πŸ• tutakuombea

Amen. Haya mambo magumu sana kuyaelezea. Ila kama Kuna jambo limekupata, piga moyo konde Songa mbele. Kinachoumiza ni pale umewekeza hisia zako zote na kumwamini mtu Kisha akienda ndivyo sivyo, lazima mtuite dog wa mkia mbele.

Kila kitu kinahitaji discipline, dog mkia mbele tunahitaji discipline na maombi ya ziada. Kuna wakati tunafanya mambo hata mwenyewe ukikaa na kutafakari unajiona kabisa wewe ni simbilisi hata sio dog.

Nilichobadilika sio kwamba siwaamini watu ila naamini wanaweza kufanya chochote Cha kuniumiza bila kujali chochote, so I have to protect my little heart.
 
Akili zenu mnazijua wenyewe
 
Akili zenu mnazijua wenyewe

Kikubwa Kwa Sasa tafuta furaha Yako, inner peace. Siku hizi Hilo jukumu dimwachii mtu mwingine asimamie furaha yangu hata kidogo. Yaani ni kitu dsi binafsishi Wala ku outsource hiyo huduma.

Nalinda furaha yangu wakati pia najitahidi nisivuruge ya mwingine.
 
Yani nimeshangaa mtu anamuita mke wake stupid, daaa.
Ila sijui labda wanashida ndani kwa ndani

Kwani unafikiri anamaanisha basi, hapo atatoa ahadi zote na jinsi ansvyopambana kumpigia chini wife ili mchepuko apande daraja kwenye ligi..lakini thubutuuuu.

Usemi wa Kapeace hii kitu inaitwa mkia mbele ukishindwa kuichunga na kuidhibiti inakuendezha na madhara yake ni dhahiri.
 
Raha unajipa mwenyewe, usaliti unaumiza kwa jinsia zote tu, tena nyie unawatesa zaidi ila ndo mmekuwa vichwa ngumu sasa km hivyo mwanaume kaanza asubiri kifuatacho, atachagua moja kati ya yafuatayo, ajiue ama aue hapo ndo utajua nani ana nguvu kwenye mapenzi kati ya ke au me
 
Sio kumdhalilisha hivyo wife wake, huyu anawakilisha wanaume wote akili zenu ni km mbwa dume
 
Sio kumdhalilisha hivyo wife wake, huyu anawakilisha wanaume wote akili zenu ni km mbwa dume
Siwezi kukubishia sana Kwa vile inahitaji nguvu na utashi wa Hali ya juu kuwa exceptional, Kwa Sasa acha tu nikubaliane na wewe.
 
Sowez mdhalilisha mume wangu ivo, baada ya hapo wanaachana au wanashea io aibu?? yaan mbele ya kila mtu, NO
 
Huo mkia mbele ndio ulimtomba mama yako ukatokea wewe kwaio uheshimu huo mkia unaoudhihaki ambao hata baba yako anao.

Sasa haya ndio mambo yanafanya tuitwe dog, kulikua na haja Gani kufika kote huku Mkuu? Unatuangusha. Umeenda mbali sana kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…