Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hata wa kwao awataki,wamekuwa wabinafsi Sana this day,ukizingatia nao walisaidiwaIla baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana kwa ndugu wa mume daah. Hapo soon atakuja mtoto wa ndugu yake na ataona ni halali kuishi nae hapo
Sad story ambayo sikupenda kuiweka kwenye uzi huu; Huyo mwanamke wazazi wake walifariki kwenye ajali ya gari akachukuliwa na mjomba wake kasomeshwa hadi anaolewa ametokea kwa kaka yake mkubwa 😢Wengine hata wa kwao awataki,wamekuwa wabinafsi Sana this day,ukizingatia nao walisaidiwa
Hii nayo point lakini mwanamke anataka kusepa kama dogo hataondolewaKama mzazi wake yupo hai ni vyema amsaidie akiwa kwa wazazi wake, hapo hawezi kuwa na amani, kumbuka mke ndie ushinda nyumbani mda mwingi na kwa bifu ndogo ndo wanapenda.
Tena hao sijui yatima au wasio lelewa na wazazi wao au waliokulia mateso kwa ndugu usijaribu kabisa kuoa.Huwa na visasi Sana na watesaji wakubwa Sana wa ndugu,dada wa Kazi nk.Sad story ambayo sikupenda kuiweka kwenye uzi huu; Huyo mwanamke wazazi wake walifariki kwenye ajali ya gari akachukuliwa na mjomba wake kasomeshwa hadi anaolewa ametokea kwa kaka yake mkubwa 😢
Uko sahihi kabisa mkuunakataa sababu yoyote zaidi ya chuki na roho mbaya kwa sababu kama kuna changamoto yoyote angeongea na mume wake,
ok leo anakataa mtoto mmoja wa form two je akija kuuguliwa na mzazi kwake itakuaje?maybe kama mke ndo anatunza familia hapo ni sawa kulalamika lakini kama ni wewe basi mwanamke wa hivyo hakufai
N.B
hapa jirani kuna mwanamke yaani yeye ndugu wa mme huwa hawakai akijitahidi ni wiki mbili awe wa kike ama wa kiume sijui huwa anawafanya nini
mwanamke sio ndugu yako unaweza kumwacha ukapata nwingineSad story ambayo sikupenda kuiweka kwenye uzi huu; Huyo mwanamke wazazi wake walifariki kwenye ajali ya gari akachukuliwa na mjomba wake kasomeshwa hadi anaolewa ametokea kwa kaka yake mkubwa 😢
na kama mtoto anashida kwa nini usimwambie baba fulani kuna hiki na hiki kwa huyu mtoto?kama anatabia hatarishi ataondolewa kwa makubaliano ya familiaJe, kitu hiki kimeshatokea walipokuja ndugu wengine?
Kama jibu ni hapana
1. Akae na mke wake sehemu tulivu ikibidi nje ya nyumbani apige nae story, kujua changamoto ni nini kuishi na huyo mtoto
Huyo mtoto anaingia foolish age, umri ambao majority wanakuwa watukutu sana, viburi, dharau. Na kwa vile si mtoto wake na wazazi wake wapo hawezi kupata uhuru wa kumuadhibu anapokosea
Kama itaonekana mtoto ndo changamoto
Arudishwe kwao then baba yake mdogo sijui mkubwa awe anatuma hela za kusapoti
Kwenye ndoa kunahitajika hekima sana
There is no one answer fit all
Lakini kama ni tabia ya mkewe, inahitajika uvumilivu na maamuzi ya busara
Vinginevyo ajipange kwa ugomvi, mabishano, kununiwa, kukosa amani, kukosa hamu ya kurudi nyumbani
Amtest amwache asepe najua hizo ni swaaga tu kutikisa kiberiti na dogo akisepa lazima ampande jamaa kichwani.Hii nayo point lakini mwanamke anataka kusepa kama dogo hataondolewa
kuna shemeji yangu yeye tangu mdogo baba na mama walifariki akalelewa na ndugu lakini alivyo na roho mbaya hawezi kukaa na mtu mwingine unajiuliza hivi huyu hakumbuki alivyokua ama ni nini hichi yaani huwezi kudhania kama ni yatima aliyelelewa kwa watuSad story ambayo sikupenda kuiweka kwenye uzi huu; Huyo mwanamke wazazi wake walifariki kwenye ajali ya gari akachukuliwa na mjomba wake kasomeshwa hadi anaolewa ametokea kwa kaka yake mkubwa [emoji22]
hii huwa nawambia watu ila wanadharau kwa sababu ya kuongozwa na hisia watu wa hivi wanashida sana mfano hai ninaoTena hao sijui yatima au wasio lelewa na wazazi wao au waliokulia mateso kwa ndugu usijaribu kabisa kuoa.Huwa na visasi Sana na watesaji wakubwa Sana wa ndugu,dada wa Kazi nk.
Awafai kabisa,mmoja kwenye mia labda.
Oa mtu aliyelelewa na baba na mama yake mzazi nje ya hapo ni SAwa na kupanda gari tairi kipara. Awafai wanasahau kabisa kwamba nao walisaidiwa.
Afrika sio wazungu. Lifestyle yetu Africans imebase sana kwenye extended families.Ni vizuri ulipoamua kuoa siulimuoa yeye Sasa ndugu wakazi gani??
Huo ni usumbufu wazungu lini baada ya ndoa wanaishi na ndugu zao Tena .
Halafu kazi kuja kuleta ushirikina , ulaghai, uchonganishi .
Usumbufu
Wewe.falaNi vizuri ulipoamua kuoa siulimuoa yeye Sasa ndugu wakazi gani??
Huo ni usumbufu wazungu lini baada ya ndoa wanaishi na ndugu zao Tena .
Halafu kazi kuja kuleta ushirikina , ulaghai, uchonganishi .
Usumbufu
Jamaa ndio anadekeza na kulea ujinga, kwa hizo kauli za mwanamke jamaa anadharaulikaUnaishi na chama cha upinzani ndani!! Fukuza takataka hyo