Mke kagundua nina mtoto nje

Ila najua anajua sema hakuwai kuwaona,sijui picha kaibamba wapi,natumefana mno
Hukumbuki kama ulimwambia au laa?

Kwangu mimi hili ni kosa kubwa kuliko kutomwambia kabisa.

Kutomwambia inawezekana ukaacha kumwambia kwa kuona hili ni jambo muhimu sana. Ulikuwa unalinda ndoa.

Usipokumbuka kama ulimwambia ama la, maana yake umeliona hili suala si muhimu kabisa.
 
Ukiona anakudai talaka huyo kakuchokaa mkuu,

Mwanamke nikumbe Cha hovyo sana kumanishaa kama anakupenda ww anashindwaje kupenda wtt ambao kawakuta na hata km wangemkuta shda nn wkt Kila kitu ana hudumia mwanaumee.na penginepo hata hawakai hapo nyumbanii ..

Ni samehee afande sintarudia Tena kutembea na mumeoo...kauli ya bintii..
 
Hukumbuki kama ulimwambia au laa?
Sina hiyo kumbukumbu
nikweli sikitaka,nawala sikutaka kuwasiliana nao mara kwa mara kwa vile wako kwa mama zao
 
Mpe tu hiyo talaka kama atasisitiza maana ni haki yake. Jitahidi kuwa muwazi kwa mwenzako, inatisha sana kuishi na mtu ambaye hujui kesho atakuja na suprice gani.

Imagine uje usikie mkeo kabla hujamuoa alishazaa watoto wa2 mmoja akafariki mwingine yupo kwa baba yake na hajawahi kukuambia na pengine ulimkuta bikra.
 
Hajaniambia mimi ana wasiliana na wifi zake tu.mi nimeambiwa tu
 

Kaa kimya, kimya, acha huo mjadala uendelee Kati ya wifi zake na Mama yako, ila Kuwa tayari, kwa wakati huu watamla tu!

Hawezi kuendelea Kuwa mwaminifu kamwe kwenye ndoa, Kama basi alikuwa mwaminifu hapo awali kwenye ndoa!
 
Kwa hiyo ulidhani asingegundua?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu hii mbona inatisha sana
 
Mke huambiwa hali zote ili kama anakubaliana na mazingira yote maisha yasonge. Naweza sema wewe hujielewi kama kweli hukumbi kama ulishawahi kumwambia ama vipi, sasa unawaleaje watoto wako bila yeye kugundua hata unapoongea na wazazi wenzio?
 
Hajaniambia mimi ana wasiliana na wifi zake tu.mi nimeambiwa tu
Basi kaa kimya mpaka aje kukuhoji, akija kiri. Hakuna kosa kwenye kuwa na watoto esp uliowapata kabla ya ndoa. Hakuna watoto wa nje katika hayo mazingira, kuna watoto wako ambao ndoa imewakuta. Muweke wazi kuwa ulikosea kutomueleza mapema kuhusu uwepo wa hao watoto.
 
Ila kuna watu sijui wana akili gani. Leo nimeamkaje sijui, napata tu hasira. Naandika nafuta. 😎😎😎 akili zako kama za kakaangu mzazi mxuuuuu. Utanisamehe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu hii mbona inatisha sana
Mkuu, hata mwanamke anatishika hivyo hivyo. Wanatishika kuishi na mtu wasiyemfahamu. Unakuta mwanamke anakuwa comfortable kuishi na malaya kuliko kuishi na mwanaume asiyemjua.
 
Ulitakiwa umuweke wazi kabla.

Ila kaa nae kitako umpange kama kipindi unamtongoza atakuelewa tu.
 
Aiseeh! Hii imenishtua nakuunganisha maelezo maana nina rafiki ametoka kunieleza mkasa wake leo siku ya 3 tu,alimpatia binti wa watu ujauzito akiwa masomoni mwaka wa mwisho na sasa mwaka wa 9 umepita mke wake pamoja na ndugu wamegundua ana mtoto nje ya ndoa.
 
Mke huambiwa hali zote ili kama anakubaliana na mazingira yote maisha yasonge. Naweza sema wewe hujielewi kama kweli hukumbi kama ulishawahi kumwambia ama vipi, sasa unawaleaje watoto wako bila yeye kugundua hata unapoongea na wazazi wenzio?
Hapa nakiri kuna makosa ya kiufundi nilifanya,ila kabla ya hapo huyo mwanamke mmoja anamjua maana nilikuwa niko nae kabla hata yeye kuamua kuwa mke wangu,nanilimchakua yeye kwa vile nilimpenda kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…