Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Pole bro, yatapita.....nothing is permanent, muhimu tu uachane na ule ujinga huwa mnashauriana kwenye vijiwe vya kahawa kwamba we dinda tu hapo, nyanyua mabega we ni mwanaume.Niko bongo rasta man.....huwezi kufika huku gamboshi bariadi,just joke....ila niko kwenye wakati mgumu,unacheka ila niko serious,
Kaa nae mpe ukweliNinacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.
Umuhimu wake ni upi Mtaalam?Pole kiongozi, mtiti wake sio mdogo ila ahueni yako ni kiwa umewapata kabla ya kumuoa. Hilo linasovika bila nguvu kubwa sana.
Nina mpango wa kuchanganya damu, angalau katoto kamoja ka mke mdogo, its risky but ni muhimu...
Hii ni siri ya kambi mkuu!!Umuhimu wake ni upi Mtaalam?
Hapa hamna kesi, labda kama huna hela.Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.
Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.
Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .
Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.
Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Hata wanaume wabinafsi zikija ishu za single mother humuWanawake ni wabinafsi sana.
Hajui kwamba hata ukizaa kabla ya ndoa tayari ni nje ya ndoa umezaa.Juu anadai alizaa na mabinti wawili watoto wa nje ya ndoa.
Mstari wa chini anadai hajawahi kuzaa watoto nje ya ndoa hivyo halijui kosa lake 😂😂😂
Hivi nikuulize swali , wewe kwa files zako ungemficha mpk lini mkeo.Mi namjua mke wangu ni short tempaaa mno endapo ningekuwa nafanya mawasiliano akagundua kungewaka moto na ungekuta tusha achana kitambo.
Atatulia tu sifa ya mwanaume rijali hiyo bn.Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.
Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.
Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .
Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.
Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Muache aende. Watu tuna complicate sana maisha ndio maana tunakufa mapemaMi namjua mke wangu ni short tempaaa mno endapo ningekuwa nafanya mawasiliano akagundua kungewaka moto na ungekuta tusha achana kitambo.
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.
Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.
Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .
Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.
Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa
Kuzaa nje ya ndoaHukumbuki kama ulimwambia au laa?
Kwangu mimi hili ni kosa kubwa kuliko kutomwambia kabisa.
Kutomwambia inawezekana ukaacha kumwambia kwa kuona hili ni jambo muhimu sana. Ulikuwa unalinda ndoa.
Usipokumbuka kama ulimwambia ama la, maana yake umeliona hili suala si muhimu kabisa.
Wee Mali Safi kama huna wivu vile unaandikaAkidai talaka mpe...khee kwani shida Iko wapi?.. Kuna watu nje huku wanatamani ndoa hata na mume mwenye watoto kumi...then yeye analeta nyodo...let her go
Kuna kuzaa nje ya ndoa, halafu kuna kuzaa kabla ya ndoa.Kuzaa nje ya ndoa
Kaahh ..Pole kiongozi, mtiti wake sio mdogo ila ahueni yako ni kiwa umewapata kabla ya kumuoa. Hilo linasovika bila nguvu kubwa sana.
Nina mpango wa kuchanganya damu, angalau katoto kamoja ka mke mdogo, its risky but ni muhimu...
Rey, mwanaume hazeeki hata siku moja. Halafu wewe na mimi tunajua, kuchanganya damu muhimu sana, nataka watoto zaidi🤣🤣