Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.

Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda kuumwa..kwa wengine Huwa wanaweka ringtone on hawapendi ku mute Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
 
Kama ni familia ambayo hawajapata watoto bado, halafu ndoa bado ni changa, na mke ni mama wa nyumbani, hiyo ni hali ya kawaida.

Ila hiyo hali itakwenda inapungua kadri muda unavyozidi kwenda, na atakapopata watoto wa kumsumbua sumbua hiyo hali itapungua zaidi au kuisha kabisa.
 
mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
NDIO, Wewe unafanya makusudi kutopokea simu na MKEO anajua hilo.

Otherwise ungepokea na kumwambia kuwa nipo kazini nitakupigia baadae na hio baadae unamueleza kuwa asiwe anakupigia muda wa kazi kama hakuna emergency. SIMPLE.

Ukiona hilo linakushinda basi ujue Mkeo ndio kichwa cha familia, ameshakupanda kichwani na tayari unamuogopa.

Be a Man, weka misingi kwenye ndoa yako na uisimamie uache kulia lia kwenye vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wako.
 
inaonekana humpi mkeo nafasi ya kumsikiliza na ndy maana anaitafuta nafasi hiyo hata kupitia simu, hebu badirika mzee msikilize mkeo.
 
Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Anataka kujua ratiba zimekaaje ili akitoka pia awe na uhakika mahali ulipo na kama kweli usemayo ni kweli. Hapo akishajiridhisha ni kweli anakupiga matukio ya uhakika. Ustabirike, mpe ratiba zisizo na ukweli, atalalamika kama Delila, wewe komaa hivohivo asikujue.
Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Hii inafaa akamweleze mke wake sio sisi😎
 
Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.

Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda kuumwa..kwa wengine Huwa wanaweka ringtone on hawapendi ku mute Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Sikutegemea Ndege John utauliza swali jepesi hivi
 
Back
Top Bottom