Anahakikisha tuu kwamba huji muda huo ili mdau aongeze cha pili.Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda kuumwa..kwa wengine Huwa wanaweka ringtone on hawapendi ku mute Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Na hali hiyo ikiisha mtoa mada atarudi kuuliza "ivi hii imekaaje naenda kazin kuanzia asubuh hadi siku inaisha wife hapigi simu hata sms kunijulia hali?"Kama ni familia ambayo hawajapata watoto bado, halafu ndoa bado ni changa, na mke ni mama wa nyumbani, hiyo ni hali ya kawaida.
Ila hiyo hali itakwenda inapungua kadri muda unavyozidi kwenda, na atakapopata watoto wa kumsumbua sumbua hiyo hali itapungua zaidi au kuisha kabisa.
Itakua nyege tuKuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda kuumwa..kwa wengine Huwa wanaweka ringtone on hawapendi ku mute Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda kuumwa..kwa wengine Huwa wanaweka ringtone on hawapendi ku mute Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Hili ndio jibu sahihi.Kama ni familia ambayo hawajapata watoto bado, halafu ndoa bado ni changa, na mke ni mama wa nyumbani, hiyo ni hali ya kawaida.
Ila hiyo hali itakwenda inapungua kadri muda unavyozidi kwenda, na atakapopata watoto wa kumsumbua sumbua hiyo hali itapungua zaidi au kuisha kabisa.
Mbona sio kesi akipiga sana unamwambia nna kazi ntakupigia nikimaliza, me bora wa kupiga hanikeri kuliko wale kila saa msg "nambie" nikuambie nn mazafanta ebu niache.
Aah kwakweli unakuta msg hazina kichwa wala mguu ilimradi amekukera tuMbona sio kesi akipiga sana unamwambia nna kazi ntakupigia nikimaliza, me bora wa kupiga hanikeri kuliko wale kila saa msg "nambie" nikuambie nn mazafanta ebu niache.
Mungu amtunze bibi yetu miaka 120Una bahati kupata Mke anayekujali.
Inaweza kuwa anakupigia kukukumbusha kula mchana, ama hata kujua hali yako.
Mimi nakumbuka Mwaka 47, Bibi yenu alikuwa anatembea kilomita 7 kuniletea lunch Kazini Kila Siku pamoja na kunijulia hali.
Miaka ile hakukuwa na simu wala Bodaboda wa kumtuma lunch box.
Kuna wenzio kwenye Ndoa zao, kupigiwa simu hadi nyumbani kuwe na matatizo 🤗