Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,617
- 24,269
Ha ha ha nimefikiwa mimi hata nikiona kuna kitu kimenichekesha lazima nimpigie nimuambie
Kuna siku staff mwenzie aliniambia Shem wewe ndiyo unaongoza kwa kumpigia mwamba ofisini.
Nashukuru Mume wangu hakasiriki anajua yeye ndiyo kila kitu kwangu
Yeye ni Mume, rafiki na N.K
Dear Hubby asante kwa kulivumilia hili pungufu😀