ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
NDIO, Wewe unafanya makusudi kutopokea simu na MKEO anajua hilo.mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Ni mgeni wa mapenzi huyoMwambie hupendi usumbufu.
😂Alitaka kusikia kale kafeni ka gest kama unachepuka.Huwa kale kafeni kanasirisha tena ule utulivu wa gest utasika pakapakapakapaka
Anataka kujua ratiba zimekaaje ili akitoka pia awe na uhakika mahali ulipo na kama kweli usemayo ni kweli. Hapo akishajiridhisha ni kweli anakupiga matukio ya uhakika. Ustabirike, mpe ratiba zisizo na ukweli, atalalamika kama Delila, wewe komaa hivohivo asikujue.Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Hii inafaa akamweleze mke wake sio sisi😎Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Unajidanganya.Mkuu ukiona mkeo anakutafuta hivyo ujue anakupenda na kukujali sasa siku ukiona yupo kimya ujue tu kampata anayejua umuhimu wake we endelea kuona usumbufu
Ni mwanamke mwenzake huyo anajaribu kutetea uovuUnajidanganya.
BTW. Hakuna fomula
Sikutegemea Ndege John utauliza swali jepesi hiviKuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda kuumwa..kwa wengine Huwa wanaweka ringtone on hawapendi ku mute Sasa umekaa zako ofisini simu inaita hadi sasa Inakuwa kero..mtu ukiona hajakupokelea subiri atakupigia yeye sio unampigia mtu kana kwamba anakufanyia maksudi kutopokea.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!NB: Kazini kuna kazi na nyumbani kuna kazi