Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

Sasa mkuu pokea msikilze maneno mawili /3 then mjbu mwambie baadae kdogo mama
 
Anahakikisha tuu kwamba huji muda huo ili mdau aongeze cha pili.
 
Na hali hiyo ikiisha mtoa mada atarudi kuuliza "ivi hii imekaaje naenda kazin kuanzia asubuh hadi siku inaisha wife hapigi simu hata sms kunijulia hali?"
 
Itakua nyege tu
 

Hajaanza hiyo Tabia Leo, Ulimuolea nini hali ukijua Tabia yake?
 
Anajua vizuri umeaga unaenda kazi ila hakuamini kabisa, huenda una sifa mbaya na yeye anakuwa na wivu
Mke hapigi simu kazini ila dharura tu
Jitafakari mwenyewe
 
Mbona sio kesi akipiga sana unamwambia nna kazi ntakupigia nikimaliza, me bora wa kupiga hanikeri kuliko wale kila saa msg "nambie" nikuambie nn mazafanta ebu niache.
 
Una bahati kupata Mke anayekujali.

Inaweza kuwa anakupigia kukukumbusha kula mchana, ama hata kujua hali yako.

Mimi nakumbuka Mwaka 47, Bibi yenu alikuwa anatembea kilomita 7 kuniletea lunch Kazini Kila Siku pamoja na kunijulia hali.

Miaka ile hakukuwa na simu wala Bodaboda wa kumtuma lunch box.

Kuna wenzio kwenye Ndoa zao, kupigiwa simu hadi nyumbani kuwe na matatizo 🤗
 
Hili ndio jibu sahihi.
 
Hahahahahhahahaha. Nilizani ni mi peke yangu nachukia meseji za " Niambie" bahati nzuri mke wangu hana hiyo tabia, atapiga mchana tu kujua kama umeshakula basi.
Mbona sio kesi akipiga sana unamwambia nna kazi ntakupigia nikimaliza, me bora wa kupiga hanikeri kuliko wale kila saa msg "nambie" nikuambie nn mazafanta ebu niache.
 
Mungu amtunze bibi yetu miaka 120
 
Hapo ni dalili kuwa ushamchoka, Ila sio kesi muda waja hizo simu zake za mara kwa mara pia hutoziona na hapo utagundua kwamba kuna mtu amenza nae kama wewe ulivyomzoesha wakati mnaanza mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…