Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

Ha ha ha nimefikiwa mimi hata nikiona kuna kitu kimenichekesha lazima nimpigie nimuambie

Kuna siku staff mwenzie aliniambia Shem wewe ndiyo unaongoza kwa kumpigia mwamba ofisini.

Nashukuru Mume wangu hakasiriki anajua yeye ndiyo kila kitu kwangu

Yeye ni Mume, rafiki na N.K

Dear Hubby asante kwa kulivumilia hili pungufu๐Ÿ˜€
 
Ungeoana na mtoa mada, bila shaka tungekuwa tunakusoma hapa Jukwaani, jamaa akiandika malalamiko yako ๐Ÿ˜œ
 
Angeshanichoka muda mrefu sana
Binafsi naelezea kama ni upendo, nami nimeshazoea kupokea simu za Bibi yenu during work time.

Na, asiponipigia, huwa napata wivu kwa kuhisi labda amempata Mzee mwingine nini ๐Ÿค—
 
Hilo ndio jukumu lako hakikisha unamsikiliza kila atakapohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ