Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Kama ni wa kike, anza kuzurula na boxer nyepesi hapo kwako, hakikisha kende zinachungulia. Kama ni wa kiume msugue dada yake mpaka awe anatoa ukunga wa kusikika nje.
Hii ndio yenyewe kabisa.
Tena unalichapa chapa tako la mkeo mbele yao
 
Mbona simple tuu...sii unasema haya tafuta mfanya kazi wakuja na kuondoka
 
Ukitaka kuwafukuza ndugu kuwe na kazi nyingiii wataondoka atakaebaki huyo mchapakazi ni faida
 
Huyo mkeo uwezo wake wa kureason upo chini sana.

Wakuu kabla hamjaoa jitahidini sana kuwapigisha story za kina Lissu, Kinana, Halima, Zitto nk mpime uwezo wao wa kufikiri.

Ona huyu jamaa alivyojibiwa.
 
Kama ni wa kike, anza kuzurula na boxer nyepesi hapo kwako, hakikisha kende zinachungulia. Kama ni wa kiume msugue dada yake mpaka awe anatoa ukunga wa kusikika nje.
Aisee
 
Huyo mkeo uwezo wake wa kureason upo chini sana.

Wakuu kabla hamjaoa jitahidini sana kuwapigisha story za kina Lissu, Kinana, Halima, Zitto nk mpime uwezo wao wa kufikiri.

Ona huyu jamaa alivyojibiwa.
Mkuu mke ni kama akili zake hazimtoshi vizur...
 
Pole sana ndugu, inaboa sana.
Inaboa mno...alafu mtu analia kabisa...yaan kwake nibora mara elfu awaridhishe ndugu wamuone wamaana sana...Cha ajabu Sasa kwao mpaka wanakua wazazi wake hawajawahi kukaa na ndugu yoyote zaid ya watoto wao ambao ndo huyu mke na kaka zake na dada zake..kukaa ndugu kwao isipokua kwa sababu maalumu...Cha ajabu Sasa yeye mke ndo analazimisha kufurahisha ndugu
 
Kwani shule ada unamlipia wewe?
Chakula tu kinakutoa roho? Akiumwa wapigie simu wazazi wake watume pesa ya matibabu.
Sasa kama kwao tu mpaka wanakua kuwa nafamilia zao wazazi wao tu hawajahi kukaa na ndugu na wanandugu wengi iweje yeye ndo awe nahuruma sana kulea watoto wandugu zake Hali wazazi wapo namajukumu Yao hawajatengana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…