GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
sahihi pia,mpaka alimuomba mumewe aoe make mdogo yakwamba yeye yupo busy na u DC Sasa akiwa MP itakuaje?
๐Ÿ˜… Akiwa MP haina shida maana yeye na Mumewe wana โ€œmkeโ€ Yule mke mkubwa.

Alitaka tu aachwe akaolewe na Waziri. Janja hakuwa na mawe.
 
Ila wanaume tuna ujasiri. Huyu dada kafunga ndoa na mwanaume mwingine , halafu mwanaume mwingine kaenda kumchukua na Kufunga naye ndoa.
 
Huu upuuzi haukubaliki, wajumbe fyekelieni mbali, bunge la nci haliwezi kujaa familia familia fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ