Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

[emoji23][emoji23][emoji23] Oooh hallelujah

Mi sioni kosa la kuomba talaka hapo kwakweli, hilo mbona linaongeleka tu.
Kabisa.....

Linaongeleka aisee


Mie ndio nishajisemea hakuna asiyetaka hekaheka na raha ya penzi jipya...mikato mipyaaaa.....

Yaani unarudi dar chwaaaaaap.......

Unajivutia mtu wako mmoja unapiga show zenu za kibabe.....hapa hata msamaha unautoa kiurahisiiiìiiìii


Maisha mafupi haya
 
Yani akijumlisha na hilo kosa, anakua na manguvu na manyege yani anaweza katika siku nzima....uchovu utafata kesho yake.

Eti talaka, talaka ya nini sasa huyu mwanamke nae anakua kama sio mwanamke!!!!!
 
Point kabsaa
 
Kwenye vikao huwa wanadanganyana mwanaume kuomba msamaha ni uboya eti, wanatakiwa kujimwambafai.....
Mi kwakweli nikiombwa msamaha nalainika nalegea yanaisha moyo unakua mweupe, ili mtu akijimwambafai teh kaharibu....
Kuomba msamaha maana yake ni kuwa unajutia kosa ulilolifanya na hutorudia kulifanya tena,ko ni sahihi kabsa mwanaume kuomba msamaha,cha msingi ulichofanya kiwe cha kweli,
 
Muache kulalama pia tukiwa tunatunuku watu mbususu zetu....kwa wasimamia kucha
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 umeleweka. ila tambua kuwa wanao lalama hao sio wanaume ni vijana
 

Hiyo issue ndogo sana Mkuu...
Wanawake huwa wanatusamehe sana mkuu!
Aende tuu akamuombe Msamaha Mke wake ampigie magoti...
Siku hiyo hiyo aombe na Mchezo!
Ila Amuandalie na Zawadi!
Aende nayo kama Vitenge,Au simu toleo jipya Tofauti na Analotumia Mkewe...Ila Asikubali kuwa amelala nae...
Amwambie tuu
Huyu Mwanamke alikuja kwangu Muda Mrefu ananitaka ili Mimi simtaki....anasema amegombana na Boyfriend wake akaomba aje kwangu ajisitiri!
Ila Sijafanya chochote mke wangu!
Na Na Miguuu una Mshika na Machozi ya hapa na Pale...
Lazima 100%
Anakusamehe wanawake wanapenda sana Kuombwa Misamaha!
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.

Aiseeee hapa Kuna Point sana
Cc:Mtoa mada
 
Huyo mwanamke nae awe serious....
hivo tu ndio aombe talaka? Labda kama alikua anatafuta sababu ya kuachana.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Are you serious? Nani kakuharibu akili namna hii[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Are you serious? Nani kakuharibu akili namna hii[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Espy ntakurudisha kwa bibi kabla huu mwaka haujaisha.....yani asali wa moyo, mume, darling husband umuache kila kamfanya mtu?!! No way una lako haki a mama.
 
[emoji849][emoji849][emoji849] Espy ntakurudisha kwa bibi kabla huu mwaka haujaisha.....yani asali wa moyo, mume, darling husband umuache kila kamfanya mtu?!! No way una lako haki a mama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwe mwe mweeeh!![emoji2297][emoji2297]
 
Mwanamke lazima alipata taarifa.Maybe alifika mapema tuu akasubiri night kali akafumanie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…