Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

[emoji23][emoji23][emoji23] Oooh hallelujah

Mi sioni kosa la kuomba talaka hapo kwakweli, hilo mbona linaongeleka tu.
Kabisa.....

Linaongeleka aisee


Mie ndio nishajisemea hakuna asiyetaka hekaheka na raha ya penzi jipya...mikato mipyaaaa.....

Yaani unarudi dar chwaaaaaap.......

Unajivutia mtu wako mmoja unapiga show zenu za kibabe.....hapa hata msamaha unautoa kiurahisiiiìiiìii


Maisha mafupi haya
 
Kabisa.....

Linaongeleka aisee


Mie ndio nishajisemea hakuna asiyetaka hekaheka na raha ya penzi jipya...mikato mipyaaaa.....

Yaani unarudi dar chwaaaaaap.......

Unajivutia mtu wako mmoja unapiga show zenu za kibabe.....hapa hata msamaha unautoa kiurahisiiiìiiìii


Maisha mafupi haya
Yani akijumlisha na hilo kosa, anakua na manguvu na manyege yani anaweza katika siku nzima....uchovu utafata kesho yake.

Eti talaka, talaka ya nini sasa huyu mwanamke nae anakua kama sio mwanamke!!!!!
 
Mwanaume mwenye akili pale ambapo amemkosea mkewe na haswa kwenye suala la usaliti, anapaswa kumkana na kumpotezea mchepuko na kutumia ujuzi, uelewa na ufala wake wote ili kumuweka sawa wife, sio kuwa mbabe tena, ukifumwa au kushtukiwa na kama kweli huwa tunakua wapole kwa wake zetu na kuwatii ili tusiharibu ndoa/familia
Point kabsaa
 
Kwenye vikao huwa wanadanganyana mwanaume kuomba msamaha ni uboya eti, wanatakiwa kujimwambafai.....
Mi kwakweli nikiombwa msamaha nalainika nalegea yanaisha moyo unakua mweupe, ili mtu akijimwambafai teh kaharibu....
Kuomba msamaha maana yake ni kuwa unajutia kosa ulilolifanya na hutorudia kulifanya tena,ko ni sahihi kabsa mwanaume kuomba msamaha,cha msingi ulichofanya kiwe cha kweli,
 
Ee bhana hii issue mmoja yupo dsm mwingine yupo dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji kavuta mwanamke mwingine. Mpaka sasa hawaelewani na mke anaomba taraka.....

Hii nimeona nishare hapa ili watu wengine wajifunze. Me nimemshauri akaombe msamaha kwa mwanamke yaishe. Jamaa hataki...hii imekaaje kwa ndoa za namna hii na kuhama inakuwa ngumu maana mmoja yupo serikalini mwingine yupo private.

Hiyo issue ndogo sana Mkuu...
Wanawake huwa wanatusamehe sana mkuu!
Aende tuu akamuombe Msamaha Mke wake ampigie magoti...
Siku hiyo hiyo aombe na Mchezo!
Ila Amuandalie na Zawadi!
Aende nayo kama Vitenge,Au simu toleo jipya Tofauti na Analotumia Mkewe...Ila Asikubali kuwa amelala nae...
Amwambie tuu
Huyu Mwanamke alikuja kwangu Muda Mrefu ananitaka ili Mimi simtaki....anasema amegombana na Boyfriend wake akaomba aje kwangu ajisitiri!
Ila Sijafanya chochote mke wangu!
Na Na Miguuu una Mshika na Machozi ya hapa na Pale...
Lazima 100%
Anakusamehe wanawake wanapenda sana Kuombwa Misamaha!
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.

Aiseeee hapa Kuna Point sana
Cc:Mtoa mada
 
Huyo mwanamke nae awe serious....
hivo tu ndio aombe talaka? Labda kama alikua anatafuta sababu ya kuachana.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Are you serious? Nani kakuharibu akili namna hii[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Are you serious? Nani kakuharibu akili namna hii[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
🙄🙄🙄 Espy ntakurudisha kwa bibi kabla huu mwaka haujaisha.....yani asali wa moyo, mume, darling husband umuache kila kamfanya mtu?!! No way una lako haki a mama.
 
[emoji849][emoji849][emoji849] Espy ntakurudisha kwa bibi kabla huu mwaka haujaisha.....yani asali wa moyo, mume, darling husband umuache kila kamfanya mtu?!! No way una lako haki a mama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwe mwe mweeeh!![emoji2297][emoji2297]
 
Mwanamke lazima alipata taarifa.Maybe alifika mapema tuu akasubiri night kali akafumanie
 
Back
Top Bottom