Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Nikushauri kama mwanaume mwenzangu.
1. Kama ulimkubali mkeo akiwa na mtoto,then take responsibilities. Kumumbagua mtoto kwamba ahudumiwe na baba yule ni kumuweka mke wako kwenye mtego wa kurudi kule kule.
2. Ikiwa huwezi kumhudumia huyo mtoto please Fanya utaratibu aende kwa babake manake unamuumiza mkeo kisaikolojia hali itakayochochea mgogoro wa nafsi na mgogoro wa wazi.
3. Usimchunguze sana mkeo maana wewe ndio unafanya awasiliane na mzazi mwenzake kwa kificho.
NB: enyi akina baba mnaotulelea watoto kwa kisingizio cha kuoa masingo maza kumbuka unakuta hatujaachana,nyie ndio mnatuharibia mipango yetu kwa kutunyanganya wachumba.

watunzeni wake na watoto wetu msiwanyanyase....sisi muda wowote tukitaka tunapewa. Tunaletewa...tunachakata na kazi inaendelea.

it never ends!!!!
 
Wivu ukizidi, mapenzi hupungua!. Umezidi sana wivu!. Ukioa mwanamke mwenye mtoto, lazima wazazi wenza wazungumze wellfare ya mtoto. Usiwe na wivu, mwamini mkeo ni wanazungumza tuu issues za mtoto na sio kukumbushia!.

P
Mmmmh ngumu kumeza hii, kwamba uwaache wazungumze tu??
 
True love is trust, transparency na respect.
Upelelezi ni sumu ya mapenzi.
Tatizo lako ni una wivu sana mpaka hujiamini!. Mapenzi ya dhati ni kuaminiana. Kitendo cha kumkataza mkeo asiwasiliane na mzazi mwenza ni dalili ya wivu ulioputiliza, hivyo kumlazimu mkeo kumtafuta mzazi mwenza kwa siri.
Kitendo cha kuipekua simu ya mkeo ni lack of respect, inayochangizwa na kutojiamini kwako.
A Way Foward.
  1. Kitendo cha kumbagua mtoto wa mkeo kuwa hali ngumu ya uchumi kutapunguza mapenzi kwako!. Ukipenda boga, penda na ua lake!.
  2. Ruhusu mawasiliano ya wazi na mzazi mwenza as long as unajua it was over, jiamini you are the one and only now!. Muamini mkeo!.
  3. Usimpepeleze kwa kumchunguza kwa siri, be open and transparent simu yako ashike, simu yake ishike sio kwa kuipepeleza but being open and transparent with nothing to hide!.
  4. Kitendo cha kumwambia kuanzia sasa 'mtatumia' ni kumdhalilisha kuwa amekosa uaminifu, wewe unaonyesha ni bullying type!.
  5. Choose your love and love your choice, ukipenda kweli penda jumla, upendo wa kweli huvumilia, vimilia yote.
HIli dogo tuu linakuumiza kichwa, jee ungekutana na hili kama langu... Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda! si ungemrudisha alikotoka!.
P
 
Kweli mkuu unamnyanyasa. Inavyoonekana unashindwa kuelewa kwamba ili mzazi mwenzake aweze kutoa hela lazima wawasiliane vizuri japo kwa mipaka. Wewe umekaba sana hilo eneo halafu hapohapo unataka lazima jamaa amhudumie mwanaye. Hiyo ni ngumu kwa mkeo kufanikisha mission zote mbili

Ukitaka wakate mawasiliano basi ungemhudumia huyo mtoto badala ya baba'ke

Kaa na mkeo vizuri muamue namna ya kuwezesha hayo mambo kwa urahisi bila urasimi na wivu wa kijinga. Wekeni mipaka na ushirikishwaji bayana baina ya pande zote ili uache kumtuhumu mkeo kwa usaliti ambao wala abadani sio nia yake. Unaweza kija Dm tukashauriana zaidi mkuu
 
Umri....................
Kabila...............
Experience na wanawake....................
Shabiki wa timu gani................
Je unabeti...................
Elimu.................

😂 😂
 

🤫🤫🤫🤫🤫
 
Nyie wote mnaomlaumu huyo singo maza HAMNA AKILI, mmeshindwa kuona kosa alilolifanya huyo mwanaume la kuacha kuhudumia mtoto mmeliona la singo maza kuwasiliana na baba mtoto, narudia tena HAMNA AKILI
huyo mwanaume kaonesha ubinafsi kwa kuacha kumuhudumia mtoto mlitegemea huyo mama afanye nini? Na uzuri mawasiliano aliyoyakuta hayana kielelezo chochote kwamba wana mahusiano ya kimapenzi sasa kosa lake ni nini hapo?
Mwanamke hajakosea kitu anachofanya ni kumsidia mtoto ambaye mume wake hana msaada tena na kuficha ni katika kuilinda ndoa ili mume asijisikie vibaya.

Wewe mwanaume lea huyo mtoto usisingizie uchumi kumbuka hao wote ni watoto wa mkeo na kwa mkeo hao watoto wote ni sawa sasa hawezi kuvumilia mmoja anakula mwingine anashinda njaa. Kama mwanzo ulikua ukipata 100 unagawa 50 kwa 50 sasa hivi ukipata 50 gawa 25 kwa 25. TUMIA AKILI YAKO VIZURI.

Alafu nyie ambao hamjaoa singo maza mna uhakika hamgongewi? Mna uhakika kabisa?.
 
HaWez kupewa matumiz bila kugongwa haiwezekani...jamaa ashalikoroga tyr
angalia na huyu kashaoa mama watoto wa mtu alafu yashaanza kumkuta.

Kiufupi ni kwamba hapo kazi unayo ndugu yangu ukubali kulea watoto wote bila kubagua au ulegeze upande mmoja jamaa ajipatie kupasha kiporo kila ajisikiapo.
 
Sure ni SHAMBA lenye mgogoro Tena mahakama ya hakimu mkazi kisutu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unagongwa njeee??
 
Another single mother exposed.
 
Ni historia ndefu mkuu,nilikuja kujua baadaye baada ya kumuoa na tayari tuna mtoto,nilichokuwa najua mtoto alikuwa wa marehemu mume wake,kumbe hata huyo mwanamke alimuoa akiwa na mtoto.
Na baada ya kujua ulichukua hatua gani mkuu, yani mwanamke akudanganye hana mtoto kumbe ana mtoto alafu unakuja kugudua na hauchukui hatua ??? Ebo !! Kwanza huyo mwanamke kishakudharau sanaa na ndio maana mpaka sasa anakudanganya na kufanya maujinga nyuma ya pazia akijua hata ukijua huchukui hatua yoyote.

Eti unaamua kutumia condom wewe jamaa ni mjinga sana sana. Yani hapo unaalalisha kwamba hata akisaliti huwezi kumuacha wewe jamaa ni mjinga.

Kwa hiyo mimi nikimtomba mke wako hatua ktakayochukua ni kutumia condom kwake ?! Samahani kukutukana ila mkuu wewe ni goigoi, mshamba, zoba na mjinga sana sana na utaumizwa sana,

ushauri hata huyo mtoto wa pili unaesema ni wako kapime DNA nakuhakikishia utakuja na uzi mwingine hapa
 
Nilishangaa sana mwezi uliopita maza gafla ananiambia mwanangu usioe mwanamke mwenye mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…