Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Mkuu
Unatafuta sababu.
Nikwambie MWAMBIE TU MUACHANE
ni kama unaokoteza tu sababu.
Humpendi tena huyo mwanamke.
Ila fikiria watoto wenu wote kwa pamoja.tafuta soln kabla hujavunja ndoa.
Maana nakuona ur more than ready
Duuu sawa Mkuu ,nashukuru kwa mchango wako.
 
Baada ya yeye kukataa kumtafuta mzazi mwenzake niliendelea kumhudumia kwa kidogo kinachopatikana mkuu,nadhani nimejibu swali lako.
 
Baada ya yeye kukataa kumtafuta mzazi mwenzake niliendelea kumhudumia kwa kidogo kinachopatikana mkuu,nadhani nimejibu swali lako.
Usikimbilie kuachana..wala hayo mambo ya condoms sijui nini...
Jamani kuna ndoa zina matatizo kaka
Unaweza muona mkeo malaika.
Yaani ni taabu..
Usimkusanyie ushahidi binadamu hawajakamilika.
Plz ..kuna watu wanaoa mbao si single maza na wanachapiwa sana tu.
Unajua soln nyingi ni baada ya kukaa pamoja.
Ila kama unaona upendo umekufa.Achaneni mtatafutiana sababu mwishoe muuane
 
unataka apime DNA afe na presure? mkuu humtakii mema
 
Mkuu
Unatafuta sababu.
Nikwambie MWAMBIE TU MUACHANE
ni kama unaokoteza tu sababu.
Humpendi tena huyo mwanamke.
Ila fikiria watoto wenu wote kwa pamoja.tafuta soln kabla hujavunja ndoa.
Maana nakuona ur more than ready
He is more than ready na hayuko tayari kusikia tofauti , yeye posts za kusema usioe single maza ndio anazipenda 🤣🤣🤣🤣, hajui wanaomshauri hivyo ni watu toxic , wana Ishu zao mbona hatusemi usiolewe na single fazas? Au na wao huwa hawakumbushii viporo na watu waliozaa nap??? Watu wamepinda ukisikiliza mengine unapotea hivi hivi
 
Hapo mwenye kosa ni wewe kwa sababu huja sibitisha kama huyo mkeo anatembea na mzazi mwenzake
 
Wewe ndio mwenye matatizo na una wivu wa kishamba na unauchoyo pia,pia unajiona sana kuwa wewe ndo kila kitu,pia inaonekana huyo mtoto humpendi

Kama uchumi umeporomoka kamchukueni mtoto mkae nae

Sema tu kwasasa umemchoka mkeo

Sio kila kitu lazima mwanamke akuambie,hata wewe kuna mengine humuambii mkeo

Inshu ya jamaa kukubal kutoa matumiz na mkeo kukuficha hiyo sio inshu sana,huenda mkeo anataka kuhifadhi hyo hela utakayokuwa unampa na kuifanyia makubwa zaid yatakayowasaidia wote
 
Nakubaliana na wewe hata waliooa bikra wanachapiwa vizuri sana.Sasa je hata kama mtu na mzazi mwenzake hawafanyi uzinzi ni sahihi wawe wanawasiliana?
 
Bila shaka kakutuma umtetee,muulize hivi,kilichomfanya aanze kumtafuta mzazi mwenzake ninini hali ya kuwa alishakataa? Na kama alishabadili maamuzi yake,kwanini alimtafuta kwa kificho pasipo kunishirikisha?
Acha kuuliza maswali yenye majawabu. Alimtafuta kwa kificho ili kuhakikisha hitaji lake la mtoto kuhudumiwa linapata utatuzi wa uhakika kwa gharama yoyote hata ikibidi kutoa mchezo na ndio maana hakukwambia.
 
Na wewe endelea kugongewa nje umewakilisha wanaume wengi wavumilivu [emoji4][emoji4][emoji4]
Kawakilisha wanaume wajinga. Ati anamtishia mkewe kutumia condom kanda ya ziwa mwanamke akichepuka ni talaka jioni ya siku hiyo hiyo boya eti anatumia condom.

Kisio langu madhubuti ni kua hata huyo mtoto wa pili sio wake anabisha akapime DNA
 
Acha kuuliza maswali yenye majawabu. Alimtafuta kwa kificho ili kuhakikisha hitaji lake la mtoto kuhudumiwa linapata utatuzi wa uhakika kwa gharama yoyote hata ikibidi kutoa mchezo na ndio maana hakukwambia.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kawakilisha wanaume wajinga. Ati anamtishia mkewe kutumia condom kanda ya ziwa mwanamke akichepuka ni talaka jioni ya siku hiyo hiyo boya eti anatumia condom.

Kisio langu madhubuti ni kua hata huyo mtoto wa pili sio wake anabisha akapime DNA
Bahati mbaya sana mimi sio wa kanda ya ziwa Mkuu, hatuwezi tukafanana
 
Rudia kusoma usipoelewa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…