Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Huu mwezi hautaisha bila kumwagiwa oil na mwenye gari lake
 
Mbwa anapoitwa na chatu Ili amezwe, huenda akiliia Kwa sauti ya huzuni sana, lakini kamwe haezi thubutu kukataa wito wa chatu,

Subiri tu yatakayokupata yawapatayo WAPUMBAVU!!!!
 
Huenda akawa anafanya Kwa Nia njema Ila fikra zako ni ovu , anyway dini Kando .. maadili Kando .

Ni mwanadamu huyo hamu anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…