Hiyo sio hoja.. ukiona hufikishwi dai talaka hakuna atakae kulaumu ila kufanya uzinzi ndani ya ndoa malipo yake huwa majuto[emoji56][emoji56]Wanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...
Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....
Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
NAKAZIA,Kwanini mnakuwa na mawazo ya uelekeo kwamba huyo mwanamke anamtaka? Kuna wanawake wana Tabia hiyo toka moyoni yaan ukarimu anajifeel guilt yeye amepika halafu wewe hujapika anaona kama unapata tabu...hizi kesi zipo sanaaaa na unaweza kuta huyo mwanamke anaweza asimtake kabisa ...ni ukarimu tu..
Hakuna mahali imeendikwa mwanamke ataolewa na wanaume wawili au wa 3.. ila maandiko yanamruhusu mwanaume kuoa idadi hiyo ya wanawake kama ana mudu ipasavyo... hivyo mwanamke kuwa na mwanaume mwingine wakati yupo ktk ndoa ni ubatili na malipo yake ni mauti...Kwahiyo na mwanamme anapochepuka anakuwa haridhishwi na mke wake?
Naona watu wanakuza sana mambo wakati suala sio big issue wala, Me huyu dada tunaheshimiana nae na pia ana watoto na ana mimba bado na wala kimtazamo hatuwezi hata siku moja kufikiriana kulana ila ndo hivyo sipendi anavyonipa msosi wake tu ila nashindwa nikatae vipi asijisikie vibaya
Siku utakapojiona mjinga na kichaa ni ileMke wa mtu sumu, vijana msijione wajanja. kuna mbaba mmoja tajiri hadi aliweka walinzi kwasababu ya tuvijana hutu, ukiona mke wa mtu anakufuatafuata kimbia, bom litakalotegwa litakupata wewe peke yako, yeye hadhuriki kwasababu mtegaji anajua umuhimu wake kuendelea kulea watoto wake. ndo maana mnalongwa mapema hata ujana hamuuli.
ushauri mzuriMuulize huyo mwanamke je mume wake anajua kwamba anakupaga chakula? Kama mume hajui usipokee chakula cha mwanamme mwenzako mtafutaji maana wote si mmepanga? Basi wote mnajitafuta kwaiyo budget ni muhimu, usicatch feelings mzee ni Hatari!