Yaani Mimi nakudai 90,000/= halafu leo hii unipitishe kwenye processes zote hizo ambazo ni obvious zitangharimu pesa ambayo ni kubwa zaidi ya hiyo nnayokudai??Wanatakiwa wafanye-verification ya hizo mali kwenye mamlaka zinazohusika kwa mfano kama nyumba kupitia ardhi utajua mmliki ni nani, TRA, Halmashauri na serikali za mitaa/vijiji ni mamlaka zinaweza kusaidia wakati wa verification lakini inategemea na mali husika.
Bro sisi sio benki sisi ni microcredit companies ambazo wasimamizi wakuu wa mambo yote ni serikali za mitaa tu basi na ndio maana kwenye mikataba yao lazima pawepo na muhuri wa serikali za mitaa hili kuonesha kwamba ni makubaliano yanayotambuliwa na serikali...
Kwa hiyo kudeal na hao wadaiwa sugu hatuna haja ya kupitia huko koote unakosema wewe.