Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

🤣🤣🤣 wajinga ndy waliwao ohoo ss tumechoka kupewa ibada ya ratba tunataka uwaamsho wa manabii aya sasa wamekpata tukiwaambia hzo iman amna awanatukosowa sasa wajifunze hii ndy dunia jiamn mwenyw ss tunaitaji pesa kama mbingu ipo tutatubu tu
 
Mbwaa kabisaa na gfriend wangu alikuwa humo nikamtoa shimon hapa naelekea tacaids asbh baada yakusoma hizi mada zenu za kuuwana nikapime tu tena kha
Kama ni Mrembo sijui kama hakumbandua. Demu wako ana Mkia / Tako? Kwani huo ndiyo ulikuwa Ugomjwa wake mkubwa Kiboko ya Wachawi.
 
Chai
 
nadhani serikali ilimfumbia macho awali wakidhani waumini wake ni wengi hivyo wasiwadisturb kwasababu ndio wapiga kura wa mwakani. hii ndio kasumba kubwa ya ccm.
 
Kama ni Mrembo sijui kama hakumbandua. Demu wako ana Mkia / Tako? Kwani huo ndiyo ulikuwa Ugomjwa wake mkubwa Kiboko ya Wachawi.
Karefuuu kembambaaa kidogo takoo sio bwaku sana allamhdullilah nimeridhia sema ndio hivyo babazao.amamazao wamoja hawa hawaaminiki..

.niliwahi kuta passport size kwa begilake loh nilimchapa akalia akasema wamegaiwa kanisan wakisali wawe wanashika passportsize ya huyu mbwaaa aisee nilimtukana mbayaa

Sikumojaa nkasikia jamaa anasema wangapi awajapata paspsortsize yangu nyoshaa mkono aisee nilihamaki
 
Haya makanisa yanayotumia vitu ati kutibu mikosi ni ya kuwa makini nayo sana - usanii.

Ile sanaa ya mazIngaombwe ile miaka ya 80 hadi 90 sasa hivi imehamia makanisa haya wanaita ya upako kuuziwa maji, chumvi, mafuta nk.

Ndugu ukiona mkeo kila kukicha kiguu ma njia kwa baba nabii ujue ndoa yako ipo majaribuni - wanawake ni wepesi sana kurubuniwa. ( ni nature yao).

Yaani usipokiwa makini mtakuwa mnapumzika sehemu moja bila kujuana na hela juu inapelekwa.
 
bro, kama alienda kwa kiboko ya wachawi, hata usiende kupima, mwombe Mungu, kula chakula bora kama matunda, maji kwa wingi, samaki, nyamanyama n.k. mtafute Mungu awe mwokozi wako. ni hayo tu.
 
bro, kama alienda kwa kiboko ya wachawi, hata usiende kupima, mwombe Mungu, kula chakula bora kama matunda, maji kwa wingi, samaki, nyamanyama n.k. mtafute Mungu awe mwokozi wako. ni hayo tu.
Ahsantemkuu.maana naweza kukutana na ni achokitqfuta
 
Duuh noma sana. Wanawake wa tz waache mishoboko na usikute aliwala mpaga viboga. Sasa mtu aliwe alafu aamini hapo kuna Mungu!!!. Huo ni utaahira uliokubuhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…