Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

ndiooo maana sikuhizii wake za watuu wengi wakifanywaaaa na waume zaoo kidogoo tu wanakunya sababuya mbwa kama hawa ...anamuona

niliitwa kushauri kesi.moja ya ndoa kanisa moja hapa katikatiyamji aisee halisi nzuri

mume anasema hajawahi onaa toka amuse mkewe ana mwezi wapili akimpiga cha kwanza safii

akigusa cha pili Tanzania mke anatoa hajakibwa basi balaaaaaa kavumilia kamuuliza shida asemi anajibu hatayeye haelewi

sikia haya kwamwenziooo
 
Mke tayari Masela wameshamfukua Tope Laini.
 
huwezi kumkamata mke wake kwa kosa la mume jinai haipo hivyo na ni kosa kisheria
 
Hiyo imeenda kabisa aisee! Huyu jamaa ni mpumbavu sana hana akili hata kidogo wewe muone hivyo. Anawanunua watu wa kufanya ushuhuda wa uwongo kanisani kwake ili avune pesa huku akijua kwamba anawahadaa watanzania ili awavune pesa bila sababu za msingi.
 
Yaani lijamaa lichoko kabisa limetoka zake huko Kongo limekuja hapa Tanzania kuvuna pesa za kuvuna pesa za manyumbu. Tanzania kuna kijitu ya ajabu sana.
 
Mkono wa nyani hujambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…