Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Msimbe mweupe huyo

Mama yake hakim nae wakimuuliza pesa ziko wapi atasema pesa zipi
Mi nlimpa babu yake hachim[emoji1787][emoji1787


]
Achraf hakim [emoji116][emoji116][emoji116]

Maza Huna buku mbili hapo nikanunue nyanya kwa mangi [emoji1787][emoji1787]View attachment 2587419
Zipo kwenye VICOBA na Upatu
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Ashraf kacheza kama pele, Eboue alicheza kama ditram nchimbi
 

Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.

Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.

Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
Hii imekaa vizur 🤗🤗
 
Mchumba haamini macho yake,

Mgao wake ulipaswa kua Euro mil. 70

Kitu Kama Dolla mil 100,
Sawa na almost billion 230 za kibongo

Kwa haraka haraka ,
Binti kuchanua mapaja miaka 5 tayar keshakua bilionea

Wakati kuna watu wanasoma udaktari miaka 5, ongezea wa 6 intern, bado miaka 2 ya adavance, miaka 4 olevel, miaka 7 primary na bado kwa mwezi wanalipwa mil 1.4[emoji4]
 
Back
Top Bottom