Ndoa kunishinda hilo wala kwangu sio tatizo , pia nawe utambue kuna wasio na ndoa wana baraka na furaha.Pole, kumbe ndoa yako ilikushinda ndio maana umekuwa na hasira ya kuipinga hivi. Tambua kuna ambao ndoa kwao imekuwa baraka na furaha
Hayo mambo yanatia hata ukakasi kuyatamka inaonekana upo familia nayo sana🤔Upinde hawa
Aisome LIKUDHuyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Kweli kabisa.Hayo mambo yanatia hata ukakasi kuyatamka inaonekana upo familia nayo sana🤔
Jamaa ni JingaLeta uthibitisho usio na shaka, hizo texts si ajabu ulikua unachat na chat gpt
Kasema atachelewa kuoaLengo la huu uzi nini? Kujiona kidume kisa umekubaliwa na mke wa mtu au?? Yani ujinga wako na huyu mke wa mtu ndo uhimize watu wasioe?! Pathetic🚮
Ndio tunasubiri utunge za kwako nawe tuone kama utapata wafuasiHizo hadithi kama hadithi zingine tu wewe umejuaje huyo mtu angekula mke wa huyo mtu na angekuja tambua hicho unachoita dhambi
Jibu kwa hoja Thibitisha kuwa sio hadithiNdio tunasubiri utunge za kwako nawe tuone kama utapata wafuasi
Sijaona majibu ya maswali yangu hapa. Nayaarudia;Sioni umuhimu wa kujiingiza kwenye ndoa ,sioni umuhimu wa kujiletea changamoto ambazo nilikua ninayo nafasi za kuziepuka na hata nikiziepuka hakuna chochote kitakacho pungua kwangu , wapo wanawake kibao wenye itikadi zangu hivyo hakuna huduma za kimwili nitakazo kosa kama wanyama wengine wapatavyo tu bila hata ndoa.
Kivipi labda,, ukitoa hoja toa na maelezo ya kueleweka.Kukataa ndoa ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume.
Yap kugongewa kwangu sio sababu ya kukataa ndoaSijaona majibu ya maswali yangu hapa. Nayaarudia;
1. Kwani unachokiogopa ni ndoa au kugongewa?
2. Kila mtu akikaa kwake, halafu ukagongewa, haitakuumiza?
Ukikosa hoja ya kutoa ni heri kukaa kimya na kuwa mpenzi msomaji tu kuliko kudhihirisha ujinga wako public hivi 😎Upinde hawa
NuzulatiYap kugongewa kwangu sio sababu ya kukataa ndoa
Sioni umuhimu wa mimi kufunga ndoa.
Hutaki kuoa unataka ufanywe vipi kama siyo wewe kuolewa?Ukikosa hoja ya kutoa ni heri kukaa kimya na kuwa mpenzi msomaji tu kuliko kudhihirisha ujinga wako public hivi 😎
🚮🚮Hutaki kuoa unataka ufanywe vipi kama siyo wewe kuolewa?
naamini ila huenda hii ni chaiKwamba hauamini kwamba wanalika au ?
Kama unaamini wewe chukulia tu wanalika hata kama ni chai😁naamini ila huenda hii ni chai
Siyo vizuri...