Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Nyie Wanaume mnaoleta mada humu kwamba Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa na Mwanamke mmoja leo hii eti mkatae kuoa sababu Wanawake si waaminifu hii ni ajabu kwa kweli nyani haoni β€¦β€¦β€¦πŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Sasa hapo mpendwa swali ni kwamba huyo Mwanamke mwenye itikadi kama zako ukigongewa utaumia au utakufa na lako moyoni .
 
Ukiona mwanaume anakazania kusema "KATAA NDOA" maana yake anataka aolewe yeye, mara chache sana au huwezi kusikia mwanamke akisema kataa Ndoa, kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya wanaume dhaifu (mashoga) wasiopenda kubeba majukumu ya kiumeni . Huwezi kutengeneza jamii iliyo bora ambayo haina misingi ya malezi ya Baba na mama kwa maana ya NDOA.
 
Nyie Wanaume mnaoleta mada humu kwamba Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa na Mwanamke mmoja leo hii eti mkatae kuoa sababu Wanawake si waaminifu hii ni ajabu kwa kweli nyani haoni β€¦β€¦β€¦πŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Ni kweli lakini, kuwa sio rahisi tuwe na mwanamke mmoja labda kwa mambo ya uchumi tu hapo unaweza kuwa na mmoja.
 
Nimeipenda hii ,ndio wanaume waliopo sasa .Waoga kwa kila kitu hata kuoa anaogopa nyie
Yaan kuna wanaume wamejilea kibinafsi sana
Utakuta kazi anayo na pesa pia lakini anaogopa wanawake mnoooooooo..
Ila sasa umalaya hawaogopi ng'oooπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ na hao ndio wanapenda vitoto vidogo vidogoooo
Wangekuwa waoga alafu hawafanyi mapenzi kabisaa ingekuwa afadhali, sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kweli lakini, kuwa sio rahisi tuwe na mwanamke mmoja labda kwa mambo ya uchumi tu hapo unaweza kuwa na mmoja.
Jibu nzuri kama ni hivyo kwa nini muelekeze kidole kimoja kwetu hali ya kuwa vidole vinne vinaelekeza kwenu Wanaume.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwahiyo mkuu ni mnyama gani au mdudu gani anaweza kumuua tembo kiurahisi???
Nadhani Simba japo nae atapata tabu sana au chura kwa story za kijiweni😁😁
 
Sasa hapo mpendwa swali ni kwamba huyo Mwanamke mwenye itikadi kama zako ukigongewa utaumia au utakufa na lako moyoni .
Mara zote huwa nasisitiza matumizi ya kinga ,najua kugongewa nagongewa kama mgongaji hatobeba mazima sioni tatizo na sinaga mda wakufatilia mtu.
 
Kweli kabisa mkuu tuwe makini na watu hawa wasitualibie
 
Mara zote huwa nasisitiza matumizi ya kinga ,najua kugongewa nagongewa kama mgongaji hatobeba mazima sioni tatizo na sinaga mda wakufatilia mtu.
Yaani mkuu unateseka jamanii huna furaha sasa kinga ya nini πŸ’πŸ’πŸ’
 
Jibu nzuri kama ni hivyo kwa nini muelekeze kidole kimoja kwetu hali ya kuwa vidole vinne vinaelekeza kwenu Wanaume.
Vidole vinaelekea kila jinsia ,tena wanawake wengi tu hasa bongo wanawavumilia viazi kipumbavu sana
 
Nadhani Simba japo nae atapata tabu sana au chura kwa story za kijiweni😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee,, sawa turudi kwenye mada sasa,, mkuu unahisi ni matatizo gani tunayo ogopa kuya face ndani ya ndoa ingawa kwenye utafutaji wetu kila siku kuna changamoto kibao tunazo kutana nazo na bado tunafanikiwa kuzikabili..????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…