Wako busy kuweka mifumo itakaywahakikishia kuwa uchafuzi unafanikiwa, kwa gharama yoyoteUkishakuwa na chama kilichoko madarakani, huwezi epuka kuambatanisha vitu viwili Chama+Usalama wa Taifa
Tukubali tukatae chama kilichoko madarakani ndio engine ya nchi, suala la msingi ya utendaji kazi ya T.I.S.S linabaki kuwa kwao na mratibu wake mkuu..
Naam bado kuzikwa tu mkuuNchi ilishajifia hii zamani sana.
Maigizo πSitaki kuamini hii, kuna filamu inaandaliwa hapa
Kwa hiyo RUSHWA inayoendelea huko ccm ina baraka zote za TISS? Basi sawa ccm ni chama dolaUkishakuwa na chama kilichoko madarakani, huwezi epuka kuambatanisha vitu viwili Chama+Usalama wa Taifa
Tukubali tukatae chama kilichoko madarakani ndio engine ya nchi, suala la msingi ya utendaji kazi ya T.I.S.S linabaki kuwa kwao na mratibu wake mkuu..
Ww subir tuu utajioneaMaigizo π
Mimi ni nani nisiseme AMENNa woe tuseme AMEEEEN
Mwenyekiti katika kudumisha ubora wako asante sana.Kabisa mimi kila atakae jeruhiwa najipongeza na bia baridiiii
AMENTuko pamoja mkuu wangu haya majitu ni mashetani hayastahili kuishi hata sekunde moja.
Hapana , sijawa mwenyekiti mkuuMwenyekiti katika kudumisha ubora wako asante sana.
Watajuana na Ibilisi Wao πWatajuana wenyewe
kUNA WATU WANAAMINI HIVYOUnaamini kabisa wapo kwa manufaa ya wananchi?
Uko wapi niku-join na kilo za MduduKabisa mimi kila atakae jeruhiwa najipongeza na bia baridiiii
Wacha apigwe huyo naibu waziri mollel alikuwa mjinga mjinga sana .alikuwa anasema chadema wanatekana.haya sasa hao waliompiga mkewe ni chadema.wacha avune alichopanda.Salaam!
Kumbe sasa hata familia na viongozi wa juu kabisa inawezekana kufikiwa na watekaji Wasiojulikana.
Sasa Naibu Waziri , Mkewe kutekwa ,kupigwa, hili limekaaje?
Nawasilisha π
KabisaWatajuana na Ibilisi Wao π
hahaahhahahhahaaaKwani lina mapepo
Au alijiteka?Salaam!
Kumbe sasa hata familia na viongozi wa juu kabisa inawezekana kufikiwa na watekaji Wasiojulikana.
Sasa Naibu Waziri , Mkewe kutekwa ,kupigwa, hili limekaaje?
Nawasilisha π