GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mzee aliwambia watu wana matatzo ya afya ya akili
Pengne hata mkewe nae ana tatzo ilo maana kashindwa kukumbuka njiaa ya kurudi kwake
 
Mwalimu Nyerere aliyasema haya kwa ufupi kuwa " ukishaanza kula nyama ya mtu huweziacha''
nadhani wengi hawakuelewa maana ya neno mtu.
Maana yake ni mwanadamu mwenye mwili na damu kama wewe. Ukiingia ndani utakuta,yeyote mwenye uwezo wa kuongea na wewe akisema '' unaniumiza'' na ukamuelewa, ila wewe ukaendelea kumtendea unachomtendea ujue kuwa wewe umeishatoka kwenye asili ya utu na kuingia kwenye malango ya ukatili yaani uayawani.

Sasa,ukimaliza kufanya ukatili kwa uliowaona wanastahili kufanyiwa hivyo,kwa kuwa tabia yako imekomaa.
unaanza kufanya hivyo nyumbani kwako.
Ndipo tukasema muda ni mwalimu mzuri.
 
CCM inakufa hivyo hakuna wanaweza kufanya miti yote inateleza sasa.
 
Hakuna kitu kinachonishangaza kama wale wanaovaa uniform kuona wanaotetea na kusema na kukemea yanayoendelea kuwa ni watu wanao hatarisha usalama wa nchi...

Je, anayoyasema Dr. Mollel kule Siha ni ya uongo? Wavaa uniform tunaomba na tutafurahi kuona mkisema anayoyasema ni uongo na hakuna jambo kama hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…