GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakat

Wakati wewe Mangitz na wenzako mnafurahia watekaji watu waliwaambia kuwa ipo siku upepo utageuka. Mungu ni fundi saana
Umesoma bandiko au umekurupuka mzee ni wapi nilifurahia utekaji na tulifurahia na nani ,inanipa dhambi hizo ukiwa na uhakika gani nilifurahia hayo?
 
Hiyo milioni 12 mbona kidogo, sahivi wanalipwa karibia 18M. Ndio maana wanauana kila mtu anautaka ubunge.
 
siwezi kuombea UJINGA, CHADEMA imezika sana sana, na wengine hawajawahi hata kuonekana, acha wauwane, nitachangia maturubai
Aloo ikitokea michango niambie nitaituma hela ya kutosha ya kuweza kusherehekea mambo yetu
 
Chama hakina tena viongozi wa nidhamu.

Safu ya juu ndio inaongoza kwa kutengeneza majungu huko chini.

Haya ndio matunda ya majungu yao, ni vurugu machi kwenda mbele kipindi hiki cha uchaguzi ndani ya CCM.

Ushindi ni kwa ‘hook and crook’ methods; ruksa as far as kamati kuu is concerned.
 
Yamewafika sasa ... Na Badoo..
Ee Mungu endelea waumbua hawa mashetani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…