Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Mkuu Unajua maana ya Privacy ? Kutaka mambo ya ndani kukaa ndani sio utamaduni wa kizungu hata huku tunao; sio kuanika mambo yako wazi hususan kama unaweza kuya-solve mwenyewe; kwahio ulitaka day to day awe anapost ugonjwa wake; au kujua kama anaumwa mpaka ujue anaumwa nini ili iweje...Mtu wa watu!
Wakati mnasema mnataka privacy hamkujua Jay ni mtu wa watu? Kuiga tamaduni za kizungu ambazo hatuzielewi wala hazituhusu....
Walitangaza Jay na familia wanaomba tuwape faragha zao wakati wakiuguzana.... leo wanasema tuungane nao kwa mchongo wa pesa na maombi.... tushike lipi ?
Wenzenu Ulaya huko wakisema gwiji fulani jamani linaumwa linaomba privacy yake hawawezi kurudi baada ya siku tatu kupiga yowe tumsaidie....
Faragha ni muhimu hata ukitoa pesa sio kwamba ndio una Haki ya kujua au kupewa daily feedback (utapata information panapobidi) Uzungu ni huu kuanika lifestyle yako kwenye Jamii, Uafrika ni kusaidiana panapo shida (tena bila shinikizo; hutaki pia una haki, ila sio busara kupinga wanaofanya otherwise)