Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ndio maana tunasema wawezeke wazi wapate sukuhisho kama ni figo,watu wachange apelekwe India abadilishwe maisha yaendelee kuliko kuendelea kufanya dialysis.Acha roho mbaya mkuu binafsi jamaa alipiga hela ila majanga yalikuwa mengi! Imagine uvunjiwe nyumba ghafla unafikiri kujenga same house ni bei gani?
Naskia pia mbowe alikusanya hela toka kwao ku fund kampeni za lissu mwaka 2020. Sasa hebu imagine una 150M na unevunjiwa nyumba. Ujenge nyumba mpya labda 60M hivi na makorokocho ya ndani 75M kuna hela tena humo?
Hapo bado kuna mke na mtoto wa kum support haya kingine akakosa ubunge term iliofata. Nilipoona mkewe kaanza tu kuwa MC nilihisi tayari kuna tatizo kwenye ile familia.
Kwa stage ya maisha aliyofikia hakuwa mtu wa kuunga show au kutafta kazi ya utangazaji. Let the nigga fight for his life jamani tum support sababu mitihani ni sehemu ya maisha hakuna mtihani mgumu kama kuumwa. Mungu amjalie afya aweze kuendelea ku support familia yake tuache kiburi cha uzima na mabezo.
Ipo siku na sisi tutapitia kuumwa tu wala sio swala la kumbeza mtu na kumkejeli. We would all need help in some way.
Hata uwe na million 100 jiulize dialysis kila week ni laki 3 unafikiri ni hela kiasi gani utatumia ukilala kwa week 20 tu? Bado gharama za kitanda kwa VIP daily kulala unaweza pigwa laki au zaidi. Matibabu sio rahisi tuache kiburi cha uzima jamani!
Bima tulizonazo nyingi ni za janja janja inakutibia magojwa ya malaria tu na UTI magonjwa mazito inakuacha upambane na hali yako nyie acheni tu!
Kama ana Kansa ya Ini Mungu pia anaweza saidia mgonjwa akapona???Mungu atamsaidia atapona...
Kama ana Kansa ya Ini Mungu pia anaweza saidia mgonjwa akapona???
Kwan kuna neno lolote gumu kwake asiloliweza ?Kama ana Kansa ya Ini Mungu pia anaweza saidia mgonjwa akapona???
Si kasema anaumwa!! Unataka ugonjwa wa nini? Kuna magonjwa ni siri. Shida zake zisifanye aporwe faragha yake.Basi kama Hamna sababu unaomba msaada wa nini? Hela zinatafutwa kwa jasho hazitoki kama njugumawe kama unahitaji msaada huna budi kusema kinachokusibu
Aisee Tusiokuwa nacho tuna rohi mbaya sana,kuna watu tukifanyiwa tathmini mioyoni mwetu basi sababu ya kutokubarikiwa itafahamika dhahiri.Umasikini ni mbaya sanaaTatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
Ndio.Huwa mnatangaza kuomba msaada?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mziki nimeanza kabla yako shahidi mama yako
Malizieni kihitikio hapo juu
Mabaya yapi ?Kusema ukweli kuna ubaya gani ?I hate the virus (HIV)but i don't hate people affected by the virus. Ninamuombea Mungu amponye though ikifika kwenye figo kufail ni majanga. But still miujiza ya Mungu ipo anaweza kupona.Sasa Kama walimzushia ulitaka asiseme.
Acha kunenea watu mabaya na una kizazi hujui utazaa nini.
Sijawahi sikia... labda useme mlitangaza wapi, gazetini, redioni, mitandaoni. Na wakati mnatangaza nani alikuwa anaumwa?Ndio.
Nilikuwa naumwa mwenyewe...niliishia kusaidiwa na ndugu tuu. So na yeye asaidiwe na ndugu tuuSijawahi sikia... labda useme mlitangaza wapi, gazetini, redioni, mitandaoni. Na wakati mnatangaza nani alikuwa anaumwa?
Kua kiakili boy child, Jay hana mambo ya 'kiduanzi' kama hii comment yako inavotaka kutuaminisha.Tatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
MuwasameheMtu wa watu!
Wakati mnasema mnataka privacy hamkujua Jay ni mtu wa watu? Kuiga tamaduni za kizungu ambazo hatuzielewi wala hazituhusu....
Walitangaza Jay na familia wanaomba tuwape faragha zao wakati wakiuguzana.... leo wanasema tuungane nao kwa mchongo wa pesa na maombi.... tushike lipi ?
Wenzenu Ulaya huko wakisema gwiji fulani jamani linaumwa linaomba privacy yake hawawezi kurudi baada ya siku tatu kupiga yowe tumsaidie....
Muungwana unajijua una ngoma halafu unawapelekea watoto wa wenzio moto? Maana mpya ya muungwana.Lakini haimuondolei uungwana wake.
Huo ulikua udhaifu wake, na ninajua vema.
Mtu wa Watu mtu wa Jamii Tanzania nzima hata Dunia ni ndugu zake.....Nilikuwa naumwa mwenyewe...niliishia kusaidiwa na ndugu tuu. So na yeye asaidiwe na ndugu tuu