Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

Mkuu Unajua maana ya Privacy ? Kutaka mambo ya ndani kukaa ndani sio utamaduni wa kizungu hata huku tunao; sio kuanika mambo yako wazi hususan kama unaweza kuya-solve mwenyewe; kwahio ulitaka day to day awe anapost ugonjwa wake; au kujua kama anaumwa mpaka ujue anaumwa nini ili iweje...

Faragha ni muhimu hata ukitoa pesa sio kwamba ndio una Haki ya kujua au kupewa daily feedback (utapata information panapobidi) Uzungu ni huu kuanika lifestyle yako kwenye Jamii, Uafrika ni kusaidiana panapo shida (tena bila shinikizo; hutaki pia una haki, ila sio busara kupinga wanaofanya otherwise)
 
Pole Sana J lakini hili Lowe kama funzo kwetu sote.Mtu kaimba mziki zaidi ya miaka 20 na Bado Kawa mbunge vipi inawezekanaje akose uwekezaji wa kujihudumia yeye na Familia yake hasa matibabu vipi hata bima Hana?Imeniuma sana
 
[emoji848]
 
Maradhi ni kitu kingine aisee
Magonjwa kama ya figo kampuni za bima zenyewe zinakaa pembeni
Mtu kujihudumia inatakiwa uwe na pesa kwelikweli
 
Among my favorite sons in JF![emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] huo ndio uungwana.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Dialysis sio laki tatu tena, imeshuka sana kwa sasa.
 
Mungu amsaidie sana Prof Jay, kwa kweli kuuguza mtu ni kazi kubwa sana, inahitaji moyo wa huruma na uvumilivu was hali ya juu sana. Tuzidi kumuombea apone, lakini wenye uwezo wa kuchangia kidogo matibabu wakifanya hivyo ni vema sana..

Swali tu najiuliza, pamoja na yote je jamaa hakuwa na BIMA ya afya. Kwa nafasi na uwezo alionao, BIMA ya afya NHIF package kubwa kabisa ni 1.9m hivi, hata figo ina cover..

Anyway, lipo la kujifunza hapa..get well soon brother!!
 
Ww ndo umenena mkuu, achana na yanayobwabwaja et oooh bima haicavi figo, kumbe hayajui kitu.

Ona sasa kumbe NHIF wana bima kubwa ya almost 1.9M inayohudumia magonjwa kama hayo na hatujui. Na yy kumbuka alikuwa mbunge, so atakuwa anafahamu. Ila sema ss binadamu tunajisahau sana.

Yakitukuta ndo hivyo tena, kulaumiana
 
Ukimuweka kwenye maombi huna haja ua kumuelekeza Mungu aina ya ugonjwa, we muombee uponyaji sio lazima ujue ugonjwa. Asante
Wewe omba tu mungu ndo anaye jua kwamba haya maombi yaelekee kwenye upande gani wa ugonjwa .mungu anajua mahitaji yetu ameni
 
Pole Sana J lakini hili Lowe kama funzo kwetu sote.Mtu kaimba mziki zaidi ya miaka 20 na Bado Kawa mbunge vipi inawezekanaje akose uwekezaji wa kujihudumia yeye na Familia yake hasa matibabu vipi hata bima Hana?Imeniuma sana
Tema mate chini ndugu yangu. Bado hujayajua maisha haswa haya ya kibongo. Ruge na uwekezaji wote aliokuwa nao lakini tulimchangia hapa jukwaani.
Kuuguza ni mtihani sana na watanzania wengi hatuna akiba za kihivyo. Tunapata hela tunajenga, tunasomesha, tunasaidia ndugu huku tunaendelea kutafuta. Ukiugua say baba ambaye ndio mtafutaji mkuu inakuwa shida sana na mambo yote yanaharibika

Tumchangie Jay kwa chochote tulichonacho hata kama 2000 itasaidia maana watu 5000 wakitoa hiyo inakuwa 10,000,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…