My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,601
MzurulajiπKuna kipindi nilihamasika kusali kanisa moja hivi la Kilokole. Pastor muda mwingi alitumia kujivunia material things. Kila siku nina hiki nimenunua hiki. Nikafuatilia kama ana biashara hakuna. Nikaona kumbe sisi ndio duka lake. Nikarudi zangu KKKT.
Suguye kibokoπ,,,kukanyaga majiππKatengeneza miamba ya Cement ndo mlimani kwake, ili ujumuike naye kwenye maombi mlimani inakuhitaji utoe Milioni 1.5 ...
Kumbe huyo jamaa ni muhaya, nilidhani ni mtu wa MbeyaSuguye kibokoπ,,,kukanyaga majiππ
Muhaya,akianza msifia mke wake Sasaπ,,wanawake wengine anaita takataka,,,,yupo madhabauni hivyo.Kumbe huyo jamaa ni muhaya, nilidhani ni mtu wa Mbeya
Inasemekana ana PhD ya Education kutoka UDOM sijui au Mzumbe.Pamoja na ujinga wa kidini ila huyu mwanamke hata IQ ni mgogoro...
Mmeelewa code lakini bomba imepuliziwa pumzi ikajaa gesi wakapika wiki mbili? πππ
Huyu mwanamke ni mwehu au anaakili timamu?
πππ na zile pigo zake za kung'aa, inaonekana ana share dressing table na mkewe, acha aendelee kuwala wajinga maana ndio waliwaoMuhaya,akianza msifia mke wake Sasaπ,,wanawake wengine anaita takataka,,,,yupo madhabauni hivyo.
πππ,Yaani kumuona tu ni elfu 50,000πππ na zile pigo zake za kung'aa, inaonekana ana share dressing table na mkewe, acha aendelee kuwala wajinga maana ndio waliwao
Cc Lwiva
Kwa tango pori hizi kobozi anakuelewa vp, wakati ana uhakika wa bikra kadhaa after life π πDuniani nimekutana na kazi ngumu nyingi ila sijawahi kukutana na kazi ngumu kama kutetea ukristo.
Tuko mbali boss,Pelekeni mitungi yenu mlete shuhuda zenu.jamani.
Kwani afanyi kutuma na mikoaniππTuko mbali boss,
π€£Aibuu yani....,
Haya naona mimi.........