Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

Mimi nikiona mtu ana acha uislamu na kuwa mkristo wa madhehebu ya dini kwa dhana kuwa ndiyo atakwenda peponi huwa namwona mpumbavu kwa sababu hakuna tofauti ya kafiri wa kiislamu na kafiri wa kikristo ....Ukristo wa kweli haupo kwenye madhehebu bali ni katika usahihi wa neno la mungu katika kuli ishi...DINI INATAKIWA KUWA MAISHA YA KILA SIKU YA MTU SIYO KUWA MSIKITINI AU KANISANI ...kwa sasa dini zimebaki kwenda kanisani na kwenda misikitini ila kwenye maisha halisi ya mtu ya siku kwa siku uwezi kuiona dini....
 
Hivi huwa shuhuda kama hizi zikitolewa huwa mnaona aibu kama mimi? Yaani alipomaliza nimejisikia aibu kama nimetembea uchi.
Mkuu hii inatosha kusema hawa ni waongo...

Ila kinachowapeleka watu kwa hawa waongo, watu wengi wamelemewa na matatizo mengi ambayo huwa hawaamini kwenye kuwashirikisha watu wao wa karibu ili kutafuta utatuzi.

Shida zao ndiyo zinawapeleka kwenda kungoja miujiza, ona sasa miujiza yenyewe 😀
 
Hata siasa pia nako mambo ya ajabu nako.
 
Pumbaf zake! Ila wako machoko wanaamini haya mambo ndo wanawapa nguvu waropokaji kama huyu mama kudanganya umma.

Jumanne Muliro mkamate huyu aunganishwe kwenye kesi ya Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…