Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

Tutofautishe Cult na Ukristo. Cult ni imani inayoendana na mawazo ya mtu na sio Biblia na misingi ya Yesu Kristo.
 
Kesho asubuhi utamuona anachukua form ya ubunge wa CCM anapewa madaraka!!!
 
Masheikh zao ni mizigo na ubweche....
Hatuna muda na mambo ya maigizo..
Mi nipe mpunga. theb huyi ilmu dunya kaa nayo wewe

Kiufupi mashekhe hata wakikutana na mama samia huwa wanamwambia "" mama weka mpungaaa""
 
Anasema wana magari mengi yasiyo na idadi mpk anawaza serikali sijui watawaonaje....
Endeleeni kuliwa sadaka
Proudly RC
RC wanatukamua pesa lakini angalau kinachofanyika kinatunafaisha wote. Tena hadi ambao sio wa RC wanafikiwa piwa.

Proudly RC too.
 
Dah, huu ni upofu wa akili
 
RC wanatukamua pesa lakini angalau kinachofanyika kinatunafaisha wote. Tena hadi ambao sio wa RC wanafikiwa piwa.

Proudly RC too.
Tunatoa kawaida tuu kaka siku hizi misaada ya kutoka Roma haipo tena so kanisa tunalijenga wenyewe..maendeleo tunafanya wenyewe..nyumba za mapadre tunajenga wenyewe so hela unaona kabisa nini inafanya..tupo kwenye vikao vya halmashauri ya walei tuna calculate kila senti mapato na matumizi ya sadaka na majitoleo mbalimbali zinafanya nini...aisee uwazi upo wa kutosha sana...labda kama padre ana mishe zake nje ya kanisa ila ndani ya kanisa kila senti inajulikana inapoenda....
Proudly RC till i die...
 
Ni rahisi kuhudhuria Kanisani au Msikitini kila unapohitajika kuliko kutenda yaliyo mema.

Binadamu ameamua kuchagua njia rahisi ya kumuabudu Mungu.
 
Na kuna watu wamekaa hapo wanasikiliza huo ujinga, Kweli akili sio pua kwamba kila mtu anayo.
 
Nadhani kilajambo linawezekana ila watu wana ficha CODE.Kama nguvu ya chums ulete inavyoweza kuvuta na kuhamisha pesa kutoka kwenye akiba za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…