Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana

Mwanamke hajawahi kueleweka anataka nini hasa, labda mwisho wa dunia ndio tutaelewa
 
Kaka's ex-wife, Caroline Celico divorced him because he was 𝗧𝗢𝗢 𝗣𝗘𝗥𝗙𝗘𝗖𝗧 of a husband.

“Kaka never betrayed me, he treated me well, he gave me a wonderful family, but I was not happy, something was missing. The problem was, he was too perfect for me"
 
Attachments

  • FB_IMG_17130273820470978.jpg
    FB_IMG_17130273820470978.jpg
    283.9 KB · Views: 3
Hakuna Cha u too perfect ni yeye ndie alikuwa na ka u bitch flani bado akawa na mzuka wa kukitembeza SA kachoka anataka wenyewe wanaita "kutulia"
 
Mwanamke inatakiwa siku nyingine unampiga makofi,unatulia kidogo siku nyingine una cheat,unampooza kidogo unapiga vibao tena
😀😀😀
Ukiwa mwema sana haifai
 
Naunga mkono hoja 🤣🤣
 
Mwanamke inatakiwa siku nyingine unampiga makofi,unatulia kidogo siku nyingine una cheat,unampooza kidogo unapiga vibao tena
😀😀😀
Ukiwa mwema sana haifai
Nakubali mkuu,

Hii kitu(vibao)inasaidia sana,juzi kati hapa wife alileta mizinguo flani mida ya mchana nikampotezea nikaingia zangu mjini kuosha macho.

Ile narudi nyumbani usiku nikapita zangu sehemu, nikaagiza k vant na nyama nikaanza kuipiga polepole ili mida isogee.

Baada ya kuimaliza, nikaanza kujisogeza nyumbani kwa miguu maana haikua mbali sana.

Nilipofika nikamkuta yupo jikoni anaanda msosi,ikabidi nimfate uko uko nikamuuliza ulikua unasemaje mchana kabla hajamaliza kujibu nikampiga bonge moja la mtama ile hajafika chini nikamsindikiza na uppercut ya kibabe.

Akajifanya kazimia nikamwaga chakula chote ile naanza kupasua vyombo vilivyokua na msosi akakurupuka akakimbilia chumbani.

Nikarudi zangu sebuleni nikalala kwenye sofa, ilipofika saa6 nikaingia chumbani nikapiga zangu mzigo kwa mbinde nikalala.

Asubui nikaamshwa na sauti tamu ya wife akiwa amepiga magoti "nisamehe mume wangu".Toka hiyo siku heshima, nidhamu na upendo vimetaradadi ndani ya nyumba.
 
Utakuja kuua bila kukusudia
 
Tatizo wanaume tunawasikiliza sana wanawake ndio shida inapoanzia kwasababu hawajui wanataka nn.
 
Back
Top Bottom