Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

Nimekuelewa mkuu. Ila huyu mama ni mzoefu hilo eneo na kuna vitu vingi sana nimegundua yeye anamuelekeza wife avifanye kwa Siri bila kunishirikisha.

Hivyo nahisi naye ni kirusi hatari sana Kwenye ndoa yangu.

Lakini nimeshamuweka sawa na nimeshavunja ukaribu kwa maana nimewaita yule mwanamke na mume wake na mke wangu pia nikaweka chini nikaomba kiustaarabu tu sitaki ukaribu au urafiki wao uendelee.

Hivyo bado ninachunguza lakini nasubiri kodi iishe nihamishe biashara pale.

Ahsante kwa ushauri mkuu.
 
Mwanamke akiamua kufanywa hana kwamba ni vile anatoka kwenda kwenye biashara au kwenda market.

Biashara iendelee, mwambie aache tabia ambazo huzipendi
Mazingira na kipato kinawabadilisha Sana wanawake zetu. Wanasahau
 
Weka kijana dukani ,

Mke abaki nyumbani.

Jioni ukirudi utaongozana naye kukagua hesabu.

Kuna changamoto nyingi kuoa mwanamke ambaye hakuwa na kazi yoyote au elimu yoyote halafu aje kwako baada ya kumuoa ndo umsomeshe au umtafutie shughuli yà kufanya

Hayo ndiyo madhara yake.

Wanawake ndivyo walivyo.

Mimi nimeshuhudia kwa waalimu wangu wawili wa kiume.

Mwalimu wangu wa kwanza alimsomesha mchumba hadi chuo kikuu na mchumba kupata kazi.Siku ya ndoa mchumba akatoka kuolewa naye akasema siyo taipu yake.

Mwalimu wangu mwingine alioa mke ambaye hakuwa na kazi..Alipomuoa akamuendeleza kielimu na kisha akamtafutia kazi.Baada ya kumtafutia kazi mwanamke jeuli ikaanza ndani ya nyumba.

Ndoa ikavunjika.

Rafiki yangu mwingine alioa mwanamke ambaye hakuwa na kazi na alikuwa ni form four felia.

Akiwa katika uchumba naye akamwandikisha kuristi mitihani akapata crediti ,Walioana na kisha akaenda chuo kurasini mambo ya bandarini.kisha akapata kazi.Walibahatika kupata mtoto mmoja.Mwanamke baada ya kuanza kazi bandarini mambo yakabadilika Ndoa ilivunjika.

Kuna mwingine rafiki yangu alimfungua duka la vifaa vya pikipiki ,Akamuweka mkewe awe ndo muuzaji.Yeye alikuwa na gereji yake sehemu nyingine.
Mwanamke akaanzisha mahusiano na fremu ya jirani wakawa wanaondoka kwenda kulala kwake huyo mwanamke maana mumewe hurudi saa nne usiku.Watu hawakunyimi maneno ,mume akapewa taarifa,Akaandika mtego ,Akawakuta laivu.

USHAURI,

NI VIZURI UKITAKA KUOA UOE MWANAMKE MWENYE SHUGHULI ZAKE AU MWENYE ELIMU YAKE.

LAKINI USIOE MWANAMKE HALAFU WEWE UJE UMSOMESHE KISHA UMTAFUTIE KAZI AU UMFUNGULIE BIASHARA BASI UJUE UMEJITIA KITANZI MWENYEWE.


KWA KESI YA HUYU MDAU HAPO JUU,MIMI NAKUSHAURI

MOSI,Tafuta kijana wa hilo duka na mama muache abaki nyumbani.

Pili,Dhibiti mapato yote,Saa nyingine akiwa na vijisenti vingi huota jeuri.

Tatu,Kama dini yako inaruhusu kuongeza mke basi ni muda muafaka wa kufanya hivyo.

NIULIZE SWALI LOLOTE KAMA HUKU UELEWA AU KWANINI NIMESEMA HIVYO
 
Na
Na kama upo Dar ukihitaji tuonane kwa misaada zaidi na nikukutanidhe na watu nilokutajia hapo waliokuwa na changamoto kama za kwako mpeane ushauri ni sawa tu
 
Mazingira na kipato kinawabadilisha Sana wanawake zetu. Wanasahau
Kuna mmoja mtaan kwetu juzikati kafumaniwa na mumewe.

Alikuwa mama wa nyumbani, basi jamaa akamfungulia biashara na usafiri juu. Biashara ikashamiri

Baadae jamaa katonywa nyendo za mkewe siyo. Kuna njemba inamkula. Jamaa kafuatilia kimya kimya hadi kawafuma

Sijui kinachoendelea ila wambea tunaona dukani yupo mdogo wake mume

Cc Heaven Sent
 
Ndugu zake wanafaidika pia na hiyo biashara kuwepo .... So lazima wakaze kiaina😂😄😄
 
Usimchunguze mwanamke Kam huna Nia ya kumuacha ach kbsa ingawa unaweza kumchunguza ila ukijuwa itabid ulete shazi mbaya mpige haswa na msenda her home kwa muda wa week kazaa huku akiwa amepigwa kelbu za kutosha bas baadae kamrejee akili itakuwa imemrudi
 

Duh hapo huna mke pole mkuu
Huyo kaamua na kudhamiria kuchepuka...au kitandani humfikishi??
Hata hivyo hakuna justification ya kutoka nje inaonekana mkeo kuna kitu kipya kakiona kwa huyo jamaa na wewe huna..
Hili sio kosa lako ni ulimbukeni wa mkeo tu.
Hajui thamani ya kuwa mke wa mtu na hajui uzito wa agano mlilo jiwekea
Ushauri fungua biashara iendelee simamia tu wewe mwenyewe kwa sasa mpaka utakapo pata muafaka kuhusu yeye....
Usipoteze pesa pia kwasababu ya mapenzi
 
Sasa Kama una umbo Kama juma Nature mwanaume gani atahangaika na wewe?
 
Sasa Kama una umbo Kama juma Nature mwanaume gani atahangaika na wewe?
Jitahidi uwe hata senior member basi ili twende sawa. Hapo ndo akili yako ilipoishia mnadhani wanaojiheshimu au wenye misimamo basi ni wabaya hahaa pole sanaaa. I wish ungekua level zangu tuendeleze mjadala otherwise endelea kulima viazi.
 
Nasikitika kukutaarifu kuwa biashara si sababu ya kufanya umalaya,ile pengine ni tabia yake tu sema hukuwahi kubaini pengine kwa sababu ulikuwa busy sana,na ni msiri sana.
 
Niliwahi semea kule uzi wa kula kimasihara kwamba kumuweka mkeo au mchumba kwenye biashara hasa za uwakala tunawashukuru nyie wanaume walioamua kufanya hivyo!

Mkuu hata ukimpa laini nyingine tutamla na hutakaa ujue katu, na kibaya zaidi ndo utamwamin na kuona kama kabadilika, kumbe la hasha.
Kuna mmoja wapo kasema rule moja wapo yeye ndio tataanza kunitafuta nikaona isiwe tabu hiyo imekaa poaw.

Unajua zile biashara anakutana na watu wa kila aina wenye ushawishi, watongozaji mahili, wenye vihela vya kuharibu, wenye waliopulizia marashi/perfume, wabaya na wagumu, ma handsome, wanaojua kupangilia nguo!

Yan aruke viunzi vyote hivo kisa tu eti unamwekea namba ya simu ya ofisi hahaaaa, mpe hata ya TCRA Makao makuu ukweli ni kwamba kama utamdisplay tunamkula. Over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni m
Tatizo ni kwambaq anaamini una hela nyingi kuliko unayompa anadhani unafanyia mambo yako kimya kimya ndo maana anafanya wizi na uzuri akipunguza kesho unaongeza lakini pole🤔🤔🤔
 
Mkuu ushauri wako umegusa sehemu nyingi sana. Ila mke wangu hadi ninamuoa alikuwa muhitimu wa CBE hivyo kutokana na changamoto za Ajira na yeye hakuwa na Shida kihivyo akawa ametulia tu home.

Kikubwa nilichozingatia hapa ni kuhusu watoto in case nikafariki ingali wapo wadogo nikihofia kuharibu ndoto zao kwa kutomsaidia mama yao kutafuta hela. Hivyo niliamua kufungua biashara kwa maslahi Mapana ya familia yetu.

Ila baada ya maamuzi yangu magumu naona biashara inaenda vizuri nilimuweka mtu mwingine pale.

Sasa hivi amerudi home analalamika kwa ndugu zake kuwa mimi nina mfumo dume. Lakini dhamira yangu haikuwa mbaya.

Kuhusu kuoa mke wa pili dini inaruhusu ila nahofia Badala ya kutatua tatizo nahisi litaongeza. Wanawake ni walewale mkuu hivyo tabia zao hazitofautiani sana.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…