Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

Huyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.
Una chuki kali ya kikabila
Uhalifu na Kabila vina husiana VIP?
MBNA kesi kama Hizo zipo iringa sana je tuseme wahehe ndio tabia yao? Hapana hiyo ni tábia ya MTu specific sio kabila
 
We bwana una chuki na kila kabila na mataifa. Unachukia waarabu, wasomali, waethiopia, watusi, warundi, bado makabila ya weusi wenzako wa hapa nyumbani nayo huyapendi.
Linasumbuliwa na umaskini mkuu
 
Mzeee unakula kubakwa
 
Huyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.
Acha chuki
Tabia ya MTu sio kabila
Mkoa WA kwanza kwa ukatili WA kijinsia kwa mujibu WA takwimu za Sasa ni IRINGA
 
Uyo mzee kabila gani mkuu ? Muombe Mungu sana kuna laana hapo.

Mwanamke nyota yake inategemea na aliyemtoa bikra🤣🤣🤣
 
Mwenge kuna BAR opposite na Kebbys Hall inaitwa Lukani na mtaa unaitwa Lukani Street nenda ksulizie. Sio nyumba hiyo tu, ila wachagga wa Mwenge ni tishio.

MzeevJulius Shirima wa Mikocheni kuzaa na wanawe unasemaje? Watoto wanazaliwa wa ajabu kabisa ili adumishe mali
Habari ya kweli hii?
 
Umaskini na chuki vinakusumbua
Maneno ya uongo
 
Stuka ww acha uboya kwa hiyo aliingia chumbani kwa bamdogo ambae amewahi kumbaka bila kukuambia .mkuu mzee bado anamla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…