Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Tubadilshane nikupe kimbaumbau changu? Kakilala kitandani unaweza ukamkalia bila kujua kuna binadamu...halafu hata umlisheje hutaona mabadiliko
 
Kutembea kwenda kazini na kurudi siyo mazoezi. Zoezi akili na mwili vijue unafanya mazoezi.
 
Tubadilshane nikupe kimbaumbau changu? Kakilala kitandani unaweza ukamkalia bila kujua kuna binadamu...halafu hata umlisheje hutaona mabadiliko
Huyo ndio mzuri sasa yani hata ukitaka awe sifuri kunako 6×6 akuwa tena bila maumivu
 
Halafu kana makusudi, jana nilimwambia "Mpaka mtoto wako amekuzidi uzito" akanichunia nikamletea chips na mishikaki 6 anayopendaga akanisusia leo akagoma kwenda Jumuiya...sijui nimsemee kwa Mungu
 
Chips zina mafuta mengi hizo mkuu usimpe shauri yako ngoja aje awe tumso
 
Halafu kana makusudi, jana nilimwambia "Mpaka mtoto wako amekuzidi uzito" akanichunia nikamletea chips na mishikaki 6 anayopendaga akanisusia leo akagoma kwenda Jumuiya...sijui nimsemee kwa Mungu
Nakuonea wivu mkuu yani kitu kipotabo alooooh
 
Hiyo ndio shida ya wanawake. Ni wepesi kujisahau ila wepesi pia kulaumu waume zao ambao nao wanakuwa vibonge wenye vitambi. Wanasahau wao ndio wanatenveneza hivyo vitambi kwa kucbelewesha vyakula kuliwa saa 4 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…