Kwenye u busy wake mbususu anatoa kwa ushirikiano? Nimeiliza kwa ushirikiano sio kususiwa ye alalie kule.Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Duh watu mnajua fitina! Kwamba li my wife mke wangu alione kama takataka?Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
Hata dada wa KAZI akimpa hicho cheo cha mke nae akiletewa dada wa KAZI atakuwa worse kuliko mkeoMtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibikakwa hekima na taadhima kaa chini na mkeo namjadili jambo hili ila ujadili nae ukiwa na mamlaka yote i mean wewe ndie kichwa cha familia so kwa asilimia hamsini kuwa na amri na hamsini kuwa mpole
Nakazia kwenye haya maneno hapa.Cha muhimu kama ana ulimbukeni kwenye matumizi ya dada mwambie afuatilie sana malezi ya watoto, chumbani kwako marufuku dada wa kazi kuingia kufanya usafi, na kufua nguo zako bhaassii...kama anakupikia mara moja moja anapopata muda ni sawa.
Huzuni sana hii niliikuta sehemu ndio maana unaambiwa bora ukosee kujenga ukuta utabomoa ili ujenge upya ila ukikosea kuoa ndio imetoka hioSiku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Unamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Ushauri wa kiutu uzima huuHamna taji wala ushujaa kwenye kuteseka na majukumu ya nyumbani kama kuna wakukusaidia, wacha mkeo afanye kinachompa amani. Huyo mdada wa kazi ni kwaajili yake sio wewe.
Wacha kuumiza roho kwa mkeo kujitafuta upya baada ya malezi, fanya yako mkutane chumbani
Hii niliikuta sehemu hapo inahitajika backup ya haraka kuokoa hio ndoa wajomba ndugu jamaa inabidi wawe wanapigapiga route hapo mambo yataenda sawa lazima aone aibuNakazia kwenye haya maneno hapa.
Kinachomsumbua huyo mwanamke ni ulimbukeni wa dada wa kazi so anataka kufurahia na kuenjoy kuwa Bosi kwa kipindi fulani baadae akushazoea ataanza kubadilika polepole na kurudi kama zamani kisha atakuwa anasaidiana kazi na dada wa kazi.
So kwa kifupi wala haihitaji kupanic na kutumia nguvu nyingi mambo yatabadilika taratibu
Sio kweli huo ni ushauri wa kitoto wanawake huwajui weweUshauri wa kiutu uzima huu
mhHuwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Kuna watu wana masihara sana na maisha ya watu,eti amsifie mbele yakeUnamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?
Tulia,tafuta muda uongee nae wewe mwenyeweHabari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Lazima akifanya hivyo amlinde mtoto wa watu! Nakumbuka juzi juzi nilikuwa namlaumu housemaid mbele ya wife kwa kupasi sarawiri yangu na kuikunja wakati haina kifungo. Bi mkubwa akasema hiyo siyo kazi ya housemaid ni yake. Lakini mpaka anarudi Dodoma sikuona cha kifungo au mtoto wake. Kuepusha shari nikaiweka katika Kabati lake akirudi azikute.Unamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?
Nimeishi na mke tangu 1986Sio kweli huo ni ushauri wa kitoto wanawake huwajui wewe