Nimemfikiria huyo mmama maskini, hapakuwa na jirani aliyemtonya kuwa mdada wake anazurura? Walau siku hizi kuna camera za mpaka 40k unaweza kufunga nyumbaniSasa Mama Mu kwa ulichosema ndipo inapelekea haya mambo kutokea...
Hataishia kuwajibi tu, utakuwa umemjengea uhasama huyo binti!Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Wewe ni mwanaume au mvulana?Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
DuhHabari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.

We achana na yangu, kama umeoa ufuliwe na kupikiwa pole. Wapo wanaona kuwa mke bora ufue na kupika, bado una akili ya kimaskiniSiku utakapomkuta mumeo amekaliwa kwa juu na dada wa kazi huku akimkatikia ndio utajua kua haya ni mawazo ya kimaskin ama ya kitajiri.. unless kama wewe utakua lesbian..hata ukisagana Bado tu huyo anayekusaga akipata dada wa kazi anayemjali kwa kila kitu na kumfulia na kumpikia kuhakikisha kila mara kua Yuko sawa Iko siku utawakuta kitandani ...kwaio hauna pa kukimbilia..endelea kuishi maisha ya mwanamke wa kibeijing..
Then.....Ampige beki tatu
😃😃😃Mliooa mnavituko.
Wana vituko sana hawa ndugu. Haladu wambea..kila jambo wanalileta mtandaoni, hawana maamuzi wao binafsi hadi waombe ushauri.Mliooa mnavituko.
Labda kapata kaziSasa mdada wa kazi alikuwa wanini? Miaka sita anasota mwenyewe then miezi mitatu anapumzika we unaona wivu, cha msingi hizo issue za kudhurura kaa nae ongea nae.
Hilo la kufanya dhambi na dada wa kazi ni petrol kwenye Moto. Hilo la kumuuliza dada wa kazi maendeleo ya watoto na kila kitu kuhusu nyumbani nakuunga mkono!Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
kwanini wewe usifanye baadhi ya hayo majukumu? kama kuwaangalia watoto?Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. ONYESHA UPENDO KWA DADA WA KAZI. NARUDIA TENA "ONYESHA UPENDO KWA DADA WA KAZI"Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Point ya namba tatu (3) ni muhimu.Tatizo umelianzisha wewe, haiwezekani mke wako anaondoka nyumbani bila taarifa au safari hazina kichwa wala miguu na wewe, kimya kama kondoo, simama kwenye nafasi yako kama kiongozi wa familia.
Sasa hapo ishu ni tatu tu,
- toa maelekezo ya mambo unayoyataka na utaratibu nyumbani
- Akikataa timua dada wa kazi or,
akiwepo wewe kuwa busy na dada wa kazi na ajue kama una interest flani hivi.
Huu sio ushauri mzuri Kwa baba wa nyumba.kwanini wewe usifanye baadhi ya hayo majukumu? kama kuwaangalia watoto?
narudia Siku utakapomkuta mumeo amekaliwa kwa juu na dada wa kazi huku akimkatikia ndio utajua kua haya ni mawazo ya kimaskin ama ya kitajiri.. unless kama wewe utakua lesbian..hata ukisagana Bado tu huyo anayekusaga akipata dada wa kazi anayemjali kwa kila kitu na kumfulia na kumpikia kuhakikisha kila mara kua Yuko sawa Iko siku utawakuta kitandani ...kwaio hauna pa kukimbilia..endelea kuishi maisha ya mwanamke wa kibeijing....We achana na yangu, kama umeoa ufuliwe na kupikiwa pole. Wapo wanaona kuwa mke bora ufue na kupika, bado una akili ya kimaskini
AsanteHilo la kufanya dhambi na dada wa kazi ni petrol kwenye Moto. Hilo la kumuuliza dada wa kazi maendeleo ya watoto na kila kitu kuhusu nyumbani nakuunga mkono!