Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa mke wangu, yeye mara zote ni yule mwanamke anaependa kununa nuna bila sababu,
Na hata ikitokea tukapishana kauli kidogo basi ukimbilia Neno ni ''Bora tuachane''
Hii neno limeanza kumtoka tu punde baada ya kununua tuvitu tuvitu kama vile kiwanja, kaujenzi ka nyumba ya vyumba vitatu hivi na N.K
Sasa mpka sasa mimi sijui nini shida,
Leo hii ninavyosema tumetoka kupishana kidogo yeye akasema tena hiyo kauli yake ya Bora Tuachane
Na mimi nimeamua sasa ni Bora tuachane kweli, Nimemuachia kila kitu ,siondoki ata na kijiko Naenda kuanza upya
Yaani nimesamehe kuanzia mahali mpaka vyote nilivyochuma nae,
Naondoka mimi kama mimi tu maana naona ni mwanamke mpumbavu .
Niiacha uchakataji ili nitulie,lakini sasa mi naona bora nirudi kwenye zama zangu tu maana Ata wanawake wenyewe naona hawajui ni kipi wanachokitaka.
Cc Zero IQ