Ushachokwa tayari mkuu anza ku move on, hiyo ni first alert kifuatacho unakijua usijivungishe...Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa mke wangu,yeye mara zote ni yule mwanamke anaependa kununa nuna bila sababu,
Na ata ikitokea tukapishana kauli kidogo basi ukimbilia Neno ni bora tuachane,
Hii neno limeanza kumtoka tu punde baada ya kununua tuvitu tuvitu kama vile kiwanja,kaujenzi ka nyumba ya vyumba vitatu hivi na N.K
Sasa mpka sasa mimi sijui nini shida,
Leo hii ninavyosema tumetoka kupishana kidogo yeye akasema tena hiyo kauli yake ya Bora Tuachane
Na mimi nimeamua sasa ni Bora tuachane kweli,Nimemuachia kila kitu ,siondoki ata na kijiko Naenda kuanza upya
Yaani nimesamehe kuanzia mahali mpaka vyote nilivyochuma nae,
Naondoka mimi kama mimi tu maana naona ni mwanamke mpumbavu .
Niiacha uchakataji ili nitulie,lakini sasa mi naona bora nirudi kwenye zama zangu tu maana Ata wanawake wenyewe naona hawajui ni kipi wanachokitaka.
Cc Zero IQ
Cc Zero IQ
Nimeondoka Asubuhi hii ,nimebeba begi langu tu la nguo kuelekea kiwandani kwangu ,Ushachokwa tayari mkuu anza ku move on, hiyo ni first alert kifuatacho unakijua usijivungishe...
Naongea hivi kutokana na experiences zaidi ya moja..
Kijana ajitahidi kwenye hilo japo jahazi lishaanza kuzamaPoint ipo hapo hapo kwamba hachakatwi vizuri ndio maana anataka waachane na ndio maana ameanza kuchakatwa.
Huwezi kumpa mwanamke dhahabu na urembo mwingine wote, vyakula, malazi mazuri, pesa za shopping, outing na mengine kisha ukawa unashindwa kuchakata ipasavyo. Wanaowezaga kuvumilia hayo yote ni dada zangu wa kichaga. As long as utaprovide mambo mengine yote hilo uchakataji wanaweza kuvumilia (sio kipaumbele sana kwao).
Ni huzuni mkuuKijana ajitahidi kwenye hilo japo jahazi lishaanza kuzama
Kweli ww ni zero wa TaifaNi miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa mke wangu,yeye mara zote ni yule mwanamke anaependa kununa nuna bila sababu,
Na ata ikitokea tukapishana kauli kidogo basi ukimbilia Neno ni bora tuachane,
Hii neno limeanza kumtoka tu punde baada ya kununua tuvitu tuvitu kama vile kiwanja,kaujenzi ka nyumba ya vyumba vitatu hivi na N.K
Sasa mpka sasa mimi sijui nini shida,
Leo hii ninavyosema tumetoka kupishana kidogo yeye akasema tena hiyo kauli yake ya Bora Tuachane
Na mimi nimeamua sasa ni Bora tuachane kweli,Nimemuachia kila kitu ,siondoki ata na kijiko Naenda kuanza upya
Yaani nimesamehe kuanzia mahali mpaka vyote nilivyochuma nae,
Naondoka mimi kama mimi tu maana naona ni mwanamke mpumbavu .
Niiacha uchakataji ili nitulie,lakini sasa mi naona bora nirudi kwenye zama zangu tu maana Ata wanawake wenyewe naona hawajui ni kipi wanachokitaka.
Cc Zero IQ
Cc Zero IQ
Kumbe ni mjingaNi miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,

Mwakani ntakua huko, ngoja nkashuhudie mwenyeweNdoa kweli ni Utapeli mtupu.
Nani sasa anataka kuolewa na Mzee ? 😂😂😂😂 Tafuta wakuzeeka naye weweSitafuti mke mimi,kuoa tena labda nikizeeka
Hahaha 😂 😂!, amemwaga mboga nawe ukamwaga ugali, huo ndo uanamme Sasa, hakuna kuonea huruma Hawa viumbe ukitaka uishi maisha marefu!!.Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa mke wangu, yeye mara zote ni yule mwanamke anaependa kununa nuna bila sababu,
Na hata ikitokea tukapishana kauli kidogo basi ukimbilia Neno ni ''Bora tuachane''
Hii neno limeanza kumtoka tu punde baada ya kununua tuvitu tuvitu kama vile kiwanja, kaujenzi ka nyumba ya vyumba vitatu hivi na N.K
Sasa mpka sasa mimi sijui nini shida,
Leo hii ninavyosema tumetoka kupishana kidogo yeye akasema tena hiyo kauli yake ya Bora Tuachane
Na mimi nimeamua sasa ni Bora tuachane kweli, Nimemuachia kila kitu ,siondoki ata na kijiko Naenda kuanza upya