Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

Unajaribu kwa njia zote kuniogopesha.
Alafu Kila nikikuogopesha,wewe sasa..Hutaki kusikia ushauri.👇👇
20250211_191759.jpg
 
Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa mke wangu,yeye mara zote ni yule mwanamke anaependa kununa nuna bila sababu,
Na ata ikitokea tukapishana kauli kidogo basi ukimbilia Neno ni bora tuachane,

Hii neno limeanza kumtoka tu punde baada ya kununua tuvitu tuvitu kama vile kiwanja,kaujenzi ka nyumba ya vyumba vitatu hivi na N.K

Sasa mpka sasa mimi sijui nini shida,

Leo hii ninavyosema tumetoka kupishana kidogo yeye akasema tena hiyo kauli yake ya Bora Tuachane

Na mimi nimeamua sasa ni Bora tuachane kweli,Nimemuachia kila kitu ,siondoki ata na kijiko Naenda kuanza upya

Yaani nimesamehe kuanzia mahali mpaka vyote nilivyochuma nae,
Naondoka mimi kama mimi tu maana naona ni mwanamke mpumbavu .

Niiacha uchakataji ili nitulie,lakini sasa mi naona bora nirudi kwenye zama zangu tu maana Ata wanawake wenyewe naona hawajui ni kipi wanachokitaka.

Cc Zero IQ

Cc Zero IQ
Kumbe na wewe mzee umepoa !
 
Ameshaanza kuchakatwa
Point ipo hapo hapo kwamba hachakatwi vizuri ndio maana anataka waachane na ndio maana ameanza kuchakatwa.

Huwezi kumpa mwanamke dhahabu na urembo mwingine wote, vyakula, malazi mazuri, pesa za shopping, outing na mengine kisha ukawa unashindwa kuchakata ipasavyo. Wanaowezaga kuvumilia hayo yote ni dada zangu wa kichaga. As long as utaprovide mambo mengine yote hilo uchakataji wanaweza kuvumilia (sio kipaumbele sana kwao).
 
Kwahiyo ulivyooa ukaona utufungie vioo familia yako, leo umeacha/achwa/achika/achana ndo umerudi kutusimulia au sio...
 
Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa mke wangu,yeye mara zote ni yule mwanamke anaependa kununa nuna bila sababu,
Na ata ikitokea tukapishana kauli kidogo basi ukimbilia Neno ni bora tuachane,

Hii neno limeanza kumtoka tu punde baada ya kununua tuvitu tuvitu kama vile kiwanja,kaujenzi ka nyumba ya vyumba vitatu hivi na N.K

Sasa mpka sasa mimi sijui nini shida,

Leo hii ninavyosema tumetoka kupishana kidogo yeye akasema tena hiyo kauli yake ya Bora Tuachane

Na mimi nimeamua sasa ni Bora tuachane kweli,Nimemuachia kila kitu ,siondoki ata na kijiko Naenda kuanza upya

Yaani nimesamehe kuanzia mahali mpaka vyote nilivyochuma nae,
Naondoka mimi kama mimi tu maana naona ni mwanamke mpumbavu .

Niiacha uchakataji ili nitulie,lakini sasa mi naona bora nirudi kwenye zama zangu tu maana Ata wanawake wenyewe naona hawajui ni kipi wanachokitaka.

Cc Zero IQ

Cc Zero IQ
Pole kiongozi lakini hapo kwenye kumuachia kila kitu umefeli na umetufelisha kiumeni, HUYO ALITAKIWA ASILAMBE HATA KUMIII
 
Back
Top Bottom