Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

Kumbe na wewe mzee umepoa !
 
Ameshaanza kuchakatwa
Point ipo hapo hapo kwamba hachakatwi vizuri ndio maana anataka waachane na ndio maana ameanza kuchakatwa.

Huwezi kumpa mwanamke dhahabu na urembo mwingine wote, vyakula, malazi mazuri, pesa za shopping, outing na mengine kisha ukawa unashindwa kuchakata ipasavyo. Wanaowezaga kuvumilia hayo yote ni dada zangu wa kichaga. As long as utaprovide mambo mengine yote hilo uchakataji wanaweza kuvumilia (sio kipaumbele sana kwao).
 
Kwahiyo ulivyooa ukaona utufungie vioo familia yako, leo umeacha/achwa/achika/achana ndo umerudi kutusimulia au sio...
 
Pole kiongozi lakini hapo kwenye kumuachia kila kitu umefeli na umetufelisha kiumeni, HUYO ALITAKIWA ASILAMBE HATA KUMIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…