Mke wangu amepewa taarifa zangu na mtandao wa simu. Kisheria imekaaje?

Inawezekana. Naitoaje hiyo kama ni kweli

Mzee baba mimi ni mvivu kuandika...ila google how to get rid of spyware or stalkerware from android/ios phones...

Kama unaona ni kazi kusoma, basi backup your data and then factory reset simu au la hasha kama una simu nyingine achana na hiyo unatumia sasa...
 
Mbinu ya kutafuta droo ya kuvuka hatua za mtoano ndio hio. Hii kanuni haina penalty
 
Hapo walipo sasa hivi hawaaminiani😅😅
I hope so,inaonyesha Mume sasa hivi hamuamini tena Mkewe na Mke alikua hamuamini kabisa Mumewe ila baada ya kuhakikishiwa kua Mumewe alikua mkoani na sio Dar,huenda akapata unafuu nakubadilika But ikifikia stage ya Mume kusababisha mke kwenda Jela basi hakutakua na maana tena ya kuishi kama Mke na Mume,pia itavuruga mpaka maelewano ya familia zao na haitaleta picha nzuri kwa watoto wao wakija kukua na kujua hiyo habari,kama wana watoto.
 
Akitaka kufanya hivyo basi awe tayari kumpoteza Mkewe coz nae ataunganishwa kwenye hiyo kesi.
Mke alishakua tayari kumpoteza mume kutambo tu, ndiyo maana anafanya jitihada za kutafuta kila namna ya kutemana naye.
Akilazimisha matokeo yake mtakua wa kwanza ku post humu nyuzi za "mke amfanyi hivi au vile mume wake" na watu mtaanza ku comment "jamaa alizingua, pale alipoona hivi tu alitakuwa ampige chini maana hawasomeki". Mtamlaumu na kusema magonjwa ya akili yanazidi kukua.
kama itapelekea kuachana basi ni bora aachane naye huku akiambulia faida ambayo wanaweza kugawana pia
 
Noted. Thanks
 
Kabisa chifu
 
1, hapo ni kwamba mkeo ana mtu ndani ya hyo kampuni ya simu na wana uhusiano mzito sana sabab mhusika alifanya hayo akiwa tayar hata kuikosa kazi yake.

2,Huenda mkeo akawa na mawasiliano na askari kitengo cha cyber ambao wanauwezo wa kutrack no yoyote na kupata kuanzia mesage/calls

3, amekuwekae spyapp kwenye simu yako so anajua kila sm inayoingia na kutoka

mwisho
HATUA ALIYOFIKIA MKEO NI KWAMBA ANA BWANA NJE NA YUKO TAYARI MUACHANE
 
Atakuwa aliongea na mtu wa kitengo akamwezesha kidogo akamtolea hizo taarifa kinyume cha utaratibu. Ukiutaarifu mtandao mke wako ataitwa aeleze ni nani alimpa na huyo aliyempa anaweza kufukuzwa kazi na hata kushtakiwa kwa kuvujisha taarifa za mteja bila kufuata utaratibu.
 
[emoji2297]🥱🥱
 
Unaeza ishi na mtu kumbe ni mkuu wa kitengo cha usalama wa taifa[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Inawezekana, mimi nikiwa second year simu yangu ilidukuliwa na demu wangu wa 3rd year tena akaniambia kabisa hata ubadilishe line ntakudukua labda uhame mtandao wa tigo. Ilibidi tuachane tu
Aiseee anakwambia hata ubadili line?
Binadamu wanafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…