Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Kwanini huyo kaka aoe mwanamke mwenye mambo yake?Kwanini aolewe kama anataka kuendelea na hayo mambo yake?
Kwa mazingira yalivyo hakuna hayo mapatano, kuna mmoja amemvimbia mwenzake, miaka miwili ya ndoa hataki kubeba mimba, biashara zipo, kazi zipo ukisema hautaki kubeba mimba leo kwa sababu zitasimama, hakuna siku utabeba utakimbizana na hayo mambo kwakuwa bado hautataka uyumbe na umri hausubiri ndiyo yale mwanaume anataka watoto wanne kwa sababu umri umeenda unajikuta unaishia kupata wawiliKabla ya kuoana si walipatana tutajuaje?
Mimi kama mwanamke nimeongea pale Kwa ufupi kugusia suala la mimba linaweza kuwa gumu bila kutafajia na mambo uliyoanzisha yakaporomoka Kwa kukosa uangalizi.huo ni mfano tu
Hili suala ni la wao kukaa chini wapatane.sio la mmoja kumvimbia mwenzie
Sasa hapa ndio umeandika nini?Kabla ya kuoana si walipatana tutajuaje?
Umejuaje kua kuna mambo aliyo yaanzisha? kabla ya kuolewa au kabla ya kuanzisha hayo mambo hakujua hilo? kwanini asimtaarifu mumewe?Mimi kama mwanamke nimeongea pale Kwa ufupi kugusia suala la mimba linaweza kuwa gumu bila kutafajia na mambo uliyoanzisha yakaporomoka Kwa kukosa uangalizi.
Wakae chini mara ngapi wakati mke kagoma kuzaa?huo ni mfano tu
Hili suala ni la wao kukaa chini wapatane.sio la mmoja kumvimbia mwenzie
Kwa hilo swali lako tumuulize pia Bibie kwanini ukibali kuolewa ukiwa na mambo yako? Na unaona kabisa ipelekea kusimama?Kwanini huyo kaka aoe mwanamke mwenye mambo yake?
Unamkuta mtoto wa watu na kazi yake,biashara zake unataka aache hayo yote ili umuoe ni nani mwenye utimamu atafanya hivyo?
Ukute huyo jamàa yenu mwenyewe mnaemtetea kutunza familia mwenyewe hawezi ndio maana bibie anaomba muda aweke mambo sawa ndio aingie kwenye uzazi .
Huwezi jua ni Kwa faida Yao wote
Hili suala ni lao
HayaKwa mazingira yalivyo hakuna hayo mapatano, kuna mmoja amemvimbia mwenzake, miaka miwili ya ndoa hataki kubeba mimba, biashara zipo, kazi zipo ukisema hautaki kubeba mimba leo kwa sababu zitasimama, hakuna siku utabeba utakimbizana na hayo mambo kwakuwa bado hautataka uyumbe na umri hausubiri ndiyo yale mwanaume anataka watoto wanne kwa sababu umri umeenda unajikuta unaishia kupata wawili
Mwanaume ukiwa na msimamo unaoeleweka mambo kama haya hayapoHaya
Mwisho wa siku watajua wenyewe.
Ndio maana siku hizi zinavunjika kimasihara
Hebu tufundishe tunafanyaje kuzitengeneza hizo hofu kwa wake zetu?Jitahidi mkeo awe na hofu ya kukupoteza. Inaonekana hiyo hofu hana kabisa au hajali kuhusu hilo.
Huyu mwanamke kama hataki mimba hatoipata! Ni yeye mwanaume aamue anaweza kuishi na mwanamke anayemaliza mambo yake kwanza au la. Kama hawezi apige chini, kwani sh ngapi?Kwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?
Kama unajua ni makubaliano,kaeni mkubalianeHow mkuu? Mana hilo jambo lazima liwe la makubaliano
Asante MkuuKama unajua ni makubaliano,kaeni mkubaliane
Msimamo uwepo ila mapatano ni muhimu pia.Mwanaume ukiwa na msimamo unaoeleweka mambo kama haya hayapo
Kuzaa sio kazi, kazi kulea. Kumbuka miaka ya mwanzo mama, ambaye ametulizana kichwa na roho anaweka msingi mzuri wa makuzi ya muhimu zaidi. Kwahiyo kama amesema bado vumilia tu mwaegoWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Kabla nitoe maoni yangu naomba kuuliza,Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Muoga kuchukua maamuzi magumu kwa kigezo cha kupendaHuyu mwanamke kama hataki mimba hatoipata! Ni yeye mwanaume aamue anaweza kuishi na mwanamke anayemaliza mambo yake kwanza au la. Kama hawezi apige chini, kwani sh ngapi?
Hapo unaona kuna mapatano?Msimamo uwepo ila mapatano ni muhimu pia.