Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Kwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?
Ukiwa na msimamo heshima inakuwepo, tatizo linakuja kama yeye ni providerShida ya kuoa mtu na degree zake. Feminist hafai kuolewa
Ikiwa mtoto tu anapagiwa hivi sasa akileta hao watoto hio familia itakuwa yake kweli?. Kuna wanaume na vilaza huyu utachagua pa kumuweka😂🤣Hebu simama kama Baba na kama mwanaume aisee
Mkuu wanawake wengi ni used part yaani washatumika hatariii halafu anakuja olewa na mwanaume ambae mwenye malengo ya familia. Wakati huyo mwanamke ameingia kwenye ndoa kwa kuachwa na alio wapenda nae kishaanza kuchakaa.Jitahidi mkeo awe na hofu ya kukupoteza. Inaonekana hiyo hofu hana kabisa au hajali kuhusu hilo.
Hahahaha. Dah, aisee nimecheka.Mfano wa nyanya zikija sokoni muuzaji anauza kwa bei ya juu tena kwa maringo. Akiona zinaanza kusinyaa anauza kwa bei yoyote ile tu ili nyanya zitoke.
Inawezekana mwanamke ndio anasimamia show ndaniIkiwa mtoto tu anapagiwa hivi sasa akileta hao watoto hio familia itakuwa yake kweli?. Kuna wanaume na vilaza huyu utachagua pa kumuweka😂🤣
Mkuu ex wako mke wa mtu kwasasa tena mumewe anaona kapata mwanamke wa maana pia na mkeo/mtarajiwa ni ex wa mtu.Hahahaha. Dah, aisee nimecheka.
Kwahio Kiben 10 kaowa Lishangazi 🤣😂Inawezekana mwanamke ndio anasimamia show ndani
Kuna usahihi kwenye unachokisema.Mkuu ex wako mke wa mtu kwasasa tena mumewe anaona kapata mwanamke wa maana pia na mkeo/mtarajiwa ni ex wa mtu.
Mwenye kufurahi sana kwenye ndoa ni mwanamke ndio maana wanafanya sherehe kubwa. Ukiona mwanaume anapangiwa sherehe ya ndoa yake iwe na ukubwa/michango huyo mwanaume kilaza sio mume mwenye nyumba.
Kwani dhumuni la kumuoa lilikuwa ni nini?How mkuu? Mana hilo jambo lazima liwe la makubaliano
Kwasasa chakufanya mpe mimba.Kwahiyo kwa sasa nifanyaje sasa?
Nakutumiana meseji za my kama matahiraMkiwa kwenye uchumba kazi kuulizana 'babe umekula' 'babe njoo tulale' na mambo mengine yasiyo maana. Mambo kama hayo yalitakiwa kujadiliwa wakati wa uchumba kabla hamjaingia kwenye ndoa