BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Jf siku hizi chai nyingi...ni kunywa tu na kwenda kususu mbele ya safari!!!!Chai Mbovu Kuwahi Kutokea JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf siku hizi chai nyingi...ni kunywa tu na kwenda kususu mbele ya safari!!!!Chai Mbovu Kuwahi Kutokea JF
wanajikuta wenyewe wanajua kupeleka mbupu kuliko wenye mali zao shenz kabisa.yani ukibahatika kunasa mmoja inabidi akahadithie na wenzieHuu ndo USHAUR wa kiume Sasa,
Hawa vijana barobaro Ni janga Sana kwny mahusiano ya Watu.
Hii ishakua tabia Sasa,
Vijana wanaona sifa kutembea na work za Watu.
Na wakishatembea na mkeo wakikaa uko wanasanifu kwelikweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee pole faza mimi nilikwambia lazima katiwa siku za karibuni tu...!! Ila ndo uwanaume ila USIRUDIANE NAE KAMWE.mkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
😂😂😂Dah mkuu ile movie imefanya nione haya maisha yanahitaji umakini sana kwenye kuchagua mwenzaBrad wa sex/Life #netflix[emoji1787][emoji1787]
Ndo Maana ata uyu wa KWANGU nataka nimnyooshe atie adabuwanajikuta wenyewe wanajua kupeleka mbupu kuliko wenye mali zao shenz kabisa.yani ukibahatika kunasa mmoja inabidi akahadithie na wenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo Alex unajikuta kidume kutembea na wake za watu eeeh?Nasemaje...Mimi ndo Alex na hakuna kitu utafanya ...baada ya kuja tuelewane unauleta uzi wako huku ili kunichoresha endelea[emoji3064]
[emoji16][emoji16][emoji16] wee jamaa mwehu sanaaMan down I repeat man.
Do you copy that?
We've been hit, we need backup!
pole sana bro,pigs moyo konde okoa ndoa,mtazame tofauti now mkeo,nn anakosa from u.mkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
Hilo ni swali la msingi Sana. Kutakuwa na shida hapaWiki mbili haupo nyumbani na bado mchezo amekuomba yeye,Alex peleka moto
Sasa ukute , mwanamke ni empty; hapo ndio anatoa hadi siri za ndani.Huu ndo USHAUR wa kiume Sasa,
Hawa vijana barobaro Ni janga Sana kwny mahusiano ya Watu.
Hii ishakua tabia Sasa,
Vijana wanaona sifa kutembea na work za Watu.
Na wakishatembea na mkeo wakikaa uko wanasanifu kwelikweli
Umefanya vyema kabisa...UPDATE
huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia .
(nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana
nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya kumsamehe ila nafsi imegoma,
nimemshukuru kwa kuwa mkweli,alex sina shida nae kwakuw hakumbaka,ni makubaliano ya wao wawili,
nimemsamehe ila nimemwambia kesho kutwa aende nyumban kwao au kwa rafik yake mkubwa ntamfuata hapo badae ,amelia sana ila ndo hivyo siwez kuish na msaliti,roho yangu haiwez kukubali
wakuu nimeamua kumpiga chini ila sijamwambia kama ndo tunaachana.
NB,Hajui kama ndo tunaachana
KUCHAPIWA MKE KUNAUMA MNO,alex sitomfanya kitu kwa sbb mke angeweka ngum jamaa angenyoosha mikono kuashiria kushindwa.
siwezi kufos hisia.
nina miaka 24, yeye ana 23.
SIDHANI KAMA NITAOA HIVI KARIBUNI
Anatakiwa ajifunze,, vinginevyo bodaboda watatajwa sana akiwa mzigoniNgumu kama sio fundi
Kuweni makini na ushauri mnaotoa humu. Hii ni ndoa mjue