Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Kupika najua kawaida sio sana. Uchoyo sinaga
Vzuri , unaolewa let say mnanyumba ina six rooms alafu hamna mtoto bado au mnao wawili tu ,,,

Upo tayar kuishi na ndugu wako nandugu wangu Mimi nyumban ???
 
Vzuri , unaolewa let say mnanyumba ina six rooms alafu hamna mtoto bado au mnao wawili tu ,,,

Upo tayar kuishi na ndugu wako nandugu wangu Mimi nyumban ???
Inategemea. Kama hao ndugu hawana pa kukaa au kuna mgonjwa sina tatizo.
Ila ndugu mwenye uwezo wake ana mikono na miguu, mtu mzima hana tatizo lolote hata km ni ndugu yangu sitaki kumsikia, aje kutembea kwa muda achape lapa.
 
Inategemea. Kama hao ndugu hawana pa kukaa au kuna mgonjwa sina tatizo.
Ila ndugu mwenye uwezo wake ana mikono na miguu, mtu mzima hana tatizo lolote hata km ni ndugu yangu sitaki kumsikia, aje kutembea kwa muda achape lapa.
Oohh sawa ,,binafsi napenda sana watu na napenda kusocialize sana , maisha ya pekee yangu huwa siyawezi au kukaa wawili tu nahisi pia sitoweza nadhan nisababu ya pilika pilika zamaisha ,,,, hii inamaana hata kama MTU anamahali pakukaa au kwao wapo vzuri Bado akihitaji kuishi namimi nitamkaribisha ,,,, Je sasa mfano tungekua tumeoana ,, Wewe husingeweza kuishi na ndugu wako/wangu tunayemsomesha hata kama wazazi wake wapo vzuri nabado uwezo tunao wakumhudumia sawa na ambavyo angekua kwao ?????
 
Kuishi na watoto wa ndugu tukasomesha ni sahihi, hata nyumba inachangamka. Mtu mzima hapana labda awe na tatizo
 
Kuishi na watoto wa ndugu tukasomesha ni sahihi, hata nyumba inachangamka. Mtu mzima hapana labda awe na tatizo
Well ,, familia zetu za kiafrika Mara nyingi wazazi wanatembelea watoto zao na wanakaaa muda wowote waupendao ,,awe ana tatizo au lah,, furaha yao nikuishi na kulelewa na watoto wao ,,,,,Je hii kwako nikasumba au nijambo laheri ??
 
Khaaa hivi unakubalije shemeji yako afanye hayo yote we uangalie tu?!! Hadi nguo za kulalia!?? Too much huyo shemejio naye si muungwana hata kidogo hata kama no fadhila si hivyo anatakiwa kumuheshimu mkeo kama mama mwenye nyumba na si kumuingilia majukumu yake hata kama hatimizi mkeo ana haki ya kukasirika na kama mume unatakiwa kusimama katika mstari la sivyo hiyo ndoa yako haina uhai mrefu.be a man !!!
 
Well ,, familia zetu za kiafrika Mara nyingi wazazi wanatembelea watoto zao na wanakaaa muda wowote waupendao ,,awe ana tatizo au lah,, furaha yao nikuishi na kulelewa na watoto wao ,,,,,Je hii kwako nikasumba au nijambo laheri ??
Inaweza ikawa ni kheri na upande mwingine isiwe kheri. Kuna wazazi wanakwaza sana watoto, utamleta akae kwa upendo lkn ataharibu.
Hasa sisi mama wakwe tuna matatizo sana. Mimi sishauri wanandoa waishi na mzazi nyumba moja, awe upande wa mume au mke mara nyingi ni tatizo. Kama amekuja akakaa mwezi na hata zaidi ni sawa. Lakini kuhamia moja kwa moja hapana sipendi. Ndo iwe mgonjwa na si zaidi, tutampa matunzo huko huko alipo nyumbani kwake.
Epuka sana kuishi na mzazi au wakwe nyumba moja.
 
Aaahh
 
Jaribuni kukaa watatu, wewe mkeo na shemeji, mkubaliane mkeo afanye majukumu yake, shemeji kama anasaidia kazi kuwe na mpaka, mambo yote yanayokuhusu wewe mkeo ndio anapaswa Fanya. Ikifika kwenye majukumu ya watoto hapo sasa shemeji ndio aweke juhudi, lakini chakula chako, nguo zako na takataka zote zinazohusu wewe mwanaume... Wanawake wengi wanasahau majukumu yaho has a Hawa wake zetu, wakipata majaribu kama hayo wanaishia kusema " kuna kitu kuna kitu" kwa mazingira hayo wewe endelea kumsahidia shemeji, dunia inazunguka hii uwezi jua nani atakuwa msahada kwako badae...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nadhani nisuala la kutambua nani ni nani!!. Wazazi watambue niwazazi na nyie watoto mtambue pia wajibu wenu , ,, Unajua kuna watoto yan anakua hapendi tu kuoana wazazi wa mwenzake au ndugu wamwwnzake . yaan hata kama MTU anaumwa bado utamsikia anakushauri ,,mpeleke tu nyumban matibabu uko uko . ukizingatia mpaka wazazi wanakuja kwako nisababu wanaamini kwako kunafaraja zaidi. Hii ndo shida.
 
Aiss

Sent from my TV
mwanaume unakosaje say na watu walioko chini ya paa lako!?how comes unaona kabisa hapa kuna linalotafutwa zaidi ya ushemeji na unakaa unachekelea unaanza kulinganisha unayofanyiwa na mke,KAMA SIO UFALA NI NINI?
mwanamke unashindwaje kujaza nafasi yako kwa mumeo?mume anarudi umelala,anapakua chakula umekaa,unashindanaje na mtu over ur husband?the whole idea ya kumuuliza mgeni huyu unamwita mumeo ni mumeo?huo ushindani unatpoka wapi?KAMA SIO UPUMBAVU NI NINI?
shemeji anajiwekaje wekaje kuandaliwa kuliwa?hata kama mkewe hafungui mlango?
hata kama mkewe hampakulii chakula?
kimbele mbele gani kinamkuta?KAMA SIO UMALAYA NI NINI?

SO WAMEKUTANA WOTE WAJINGA TUPU!
MMOJA ANACHEKELEA UPUUZI
MWINGINE ANAHOFIA KIVULI CHAKE
MWINGINE ANAKUSUDIA KUVUNJA NDOA YA WATU!
kuna nini hapo ?
 
VERY TRUE!
 
Huyo shemeji kuna anachokitafuta kwako zaidi ya ushemeji mlionao mkuu mkeo ameshahisi kitu ndio mana kaamua maamuzi hayo anaona mda si mrefu ndoa yake itayumba kama unaweza mchukue shemeji yako mrudushe kwa wazazi wenu akakae huko kama unahitaji ndoa yako idumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…